Recent content by ELLY BOY

  1. E

    JamiiForums Tanzania Vinywaji vinavyochochea kufanya mapenzi!!

    Uji wa udaga!!
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kukata Line samsung galaxy S3

    Hiyo ni ya kweli kaka Samsung S3 na S4 line yake lazima uikate iwe ndogo kuna mashine zake maalumu za kukatia. Hakuna original yenye kuingia line nzima nzima ukiipata hiyo ni feki!!! Hofu ondoa mzee
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tanzanian - U.N. peacekeeper killed as Congo's army gains ground against rebels

    kifo hakiangalii muislamu wala mkristo kaka!!! japo umejishtukia kuhusu kushahabikia udini lakini huo ndo ukweli. R.I.P Soja wetu
  4. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuagiza nguo online toka China kupitia Alibaba

    ALIBABA ni neno la Kiarabu maana yake kwa kiswahili ni MWIZI!!! Kwa hiyo kuwa makini kaka.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Sugu anatafutwa na Polisi Dodoma ...Amefunguliwa faili na Askari Polisi

    Tatizo la kupeleka BONGO FLAVOUR bungeni Bhangi haiishi kichwani mapema.Kayataka mwenyewe ngoja akome japo wengi wetu hatuoni kosa lake ila kosa la polisi tu.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Watu wauawa, Ofisi zachomwa Mtwara | Bunge la jioni lasitishwa - Hali ni tete...

    Waliokufa ni POLISI tu au na wananchi pia???
  7. E

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama Anne Makinda anamiliki hotel

    Badala ya kuleta issue za maana ww unakurupuka na Makinda kuwa ana hotel na wakati huo hata ushahidi huna!! Acha unafiki na chuki binafsi kwani ww unayo orodha ya viongozi wenye biashara na mikopo sasa ya Makinda hukuwa nayo!! Anzisha lingine
  8. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa amponza Kibanda: Taarifa za awali zahusisha kutekwa na urais 2015

    Mara MAJASUSI, USALAMA, POLISI(MAAFANDE), CHADEMA, WABAYA WA LOWASA, ROSTAM, Watakuja na waandishi wa habari wasiompenda KIBANDA!!! Tuache porojo na kama unajua lolote kawasaidie wapelelezi na hiyo timu ya Waandishi/wapelelezi
  9. E

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lajiweka njia panda

    Hapa KOSA kwa Jeshi la polisi ni KUKANUSHA TAARIFA ZA UONGO ZA GAZETI LA TANZANIA DAIMA? Wa kulaumu ni huyo MWANDISHI UCHWARA yeye kazipata hizo hbr wapi? POLISI WAPO RIGHT KUKANUSHA UONGO. "Hakuna NJIA PANDA hapa LABDA NJIA SHUKA!!!:bange:
  10. E

    JamiiForums Tanzania Lema: Tutakwenda Mtwara kuwasha Moto!

    Mbona TANZANITE iliyopo kwake inaibiwa miaka hadi miaka na yeye kakaa kama MBURULA tu, leo ndo ajifanye akawashe moto Mtwara? Hana lolote.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari akamatwa na TAKUKURU Arusha

    Nahisi na wewe ni mmojawapo wa hawa WAANDISHI UCHWARA waganganjaa!!!! Badala ya kukemea unaona safi.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Vurugu kubwa kariakoo

    Toa picha sasa na ww uctuletee usanii humu:israel:
  13. E

    JamiiForums Tanzania Lulu sasa abadilishiwa mashtaka

    Hiyo ni issue ya kisheria jamani!!! kama uelewa wako ni mdogo kuhusu sheria c vema ukatoa maoni yako ambayo unaonekana kituko. HAKUNA SIASA HAPO.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Polisi wawili wauawa kwa mapanga na wananchi wenye hasira Ngara; kituo cha polisi chachomwa moto!

    Taarifa ipi ni sahihi sasa? Bodaboda alisimamishwa brbrni ndo akapigwa risasi, raia (fundi pkpk)aliyeuwawa alikuwa akikataa kupelekwa polisi au alipigwa risasi akiwa kituoni? Tanzania kufika huko bado, tunalazimisha kufika kufika huko kwa wote POLISI NA RAIA. R.I.P. MAREHEMU WOTE.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi h’shauri adaiwa kumtwanga vibao mtumishi

    Tusubiri taarifa ya uchunguzi wa Polisi ndo tutoe comment.
Back
Top Bottom