Recent content by Ella Fitzgerald

  1. Ella Fitzgerald

    Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

    Imeandikwa mithali 23:7 ajionavyo mtu nafsini kwake ndivyo alivyo.
  2. Ella Fitzgerald

    Chid Benz kama Case study: Wasanii wanamichezo wanarogwa sana

    Mkuu umesema vizuri kabisa na mwandishi atuuulize watu tulioishi na huyo Rashid makwilo ilala Magorofani flat pale za NHC tutakupa story zake na usio Kwa ubaya Mungu alimpa nafasi ila yeye mwenyewe ndio kaharibu.
  3. Ella Fitzgerald

    Afya ya meno: Wenye meno meupe yanayong'ara mnafanyaje jamani tupeane maujanja, nina hali mbaya

    Kweli mkuu Mimi huwa nachanganya baking soda na kipande Cha ndimu ukakasi wote unatoka nzuri Sana
  4. Ella Fitzgerald

    Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

    Mkuu inashangaza maana hata kuimba hajui nyimbo alikuwa anaandikiwa na yule Nuhu
  5. Ella Fitzgerald

    Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

    Shilole alikuwa bingwa wa kuvaa nguo zilizokuwa zimechanika amesahau haraka
  6. Ella Fitzgerald

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Mkuu kwakuwa umeamini Tena kurudi utafanikiwa ndugu yangu.
  7. Ella Fitzgerald

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Mkuu bado hujachelewa 40+kijana Bado na una afya halafu pia ni mpambanaji Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ufanikiwe Sana na kwenye madini Rudi unayadai Sana na utafanikiwa.
  8. Ella Fitzgerald

    Diamond Platnumz: Niliibiwa Tsh. Bilioni 4 niliyotaka kununulia ndege

    Yani watanzania wengi wetu roho mbaya Sana ndugu yangu
  9. Ella Fitzgerald

    Maoni: Alikiba hakuendana na ukubwa wa sherehe

    Sanaaaaaaaaaaaaaa[emoji109]
  10. Ella Fitzgerald

    Nani anafadhili tamasha la Kizimkazi? Malengo yake ni yapi?

    Matamasha ya utamaduni Kwa upande wa unguja ni kawaida Sana upande wa kusini unguja namaanisha kizimkazi,paje ,bwejuu na makunduchi ni Kila mwaka ni utamaduni wao na makunduchi lao linaitwa Mwaka kogwa hiyo ndio unguja na wangazija lao linaitwa ngoma ya kibuki haya mambo usikii Sana Kwa upande...
  11. Ella Fitzgerald

    Ulipo kuna umeme muda huu?

    Mjini magharibi Unguja (Zanzibar) hakuna umeme.
  12. Ella Fitzgerald

    Wanawake wanaovaa shanga kiunoni nawaona sawa na wavaa hirizi

    Zamani zilikuwa urembo mzuri tuu siku hizi wanawake wanaziusisha Sana na ushirikina kuwapata wanaume binasfi na rafiki yangu zake alitengeneza halafu mganga akamuwekea vidawa basi anawapata mabwana wenye pesa tuu.
  13. Ella Fitzgerald

    Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

    Alikuwa poa Sana sana mshikaji wa sinza mapambano Mwenyezi Mungu amrehemu na sisi tupo nyuma maana duniani tunapita tuu.
Back
Top Bottom