Recent content by Eliya

  1. Eliya

    Millya anatafutwa na polisi athibitishe mtoto wa kigogo anawatuma polisi

    . Usisahau kuwa kipindi alichomkataa, alimkataa na kikwete pia. Ndipo Lowasa na Kikwete walipounda mtandao haramu uliofanikisha kuipindua ccm asilia. Hivyo hii ni mizimu miwili inayojuana, haitaishana kwa kulana!
  2. Eliya

    Zitto amchimba mkwara Mkullo?

    Mh Zitto namwamini kwa hoja nzito zenye nguvu. Mtu akitaka kukinga hoja zake anapaswa awe na misuli hasa ya kihoja la sivyo anaenda na hicho kimbunga cha Zitto. Masikio yetu na macho yetu kwa sasa tumeyaelekeza kwa Zitto kusikia yaliyojiri ndani ya CHC.
  3. Eliya

    Beatification of Lowassa starts here

    Lowasa inajulikana wazi kwamba ndie aliyekuwa mwenye kiti wa mtandao uliomlete Jk madarakani. Ni nini kimetokea sasa hivi Nec ya jk inataka kumvua gamba? Siamini kama kuna mtu angeliweza kumsogelea Lowasa bila baraka za Jk, sasa wale waliomsogelea bila kujirizisha kama watapewa kinga kinyume na...
  4. Eliya

    Beatification of Lowassa starts here

    Naomba mwenye ushaidi wa ufisadi wa Lowasa auweke hapa. Kama ni suala la Richmondi wote tunafahamu kinachoendelea, kwani mitambo ndio inatoa umeme kwa sasa baada ya nchi kuwa taabani kwenye suala la nishati. Hata hivyo sii kwamba nakubaliana na Tb joshua kiimani, ila ninachofahamu ni kwamba siku...
  5. Eliya

    Knights templars, jesuits, freemasonry & papacy new world order nexus

    .Yeah, come back soon for more information. We need these so much.Bible has told us that 'devil is a god of this world' Come and proof us how possible does god of this evil age opparets.
  6. Eliya

    Beatification of Lowassa starts here

    .Hakuna mtu anaeweza kumzuia Lowasa kuwa rais wa nchi hii kama makusudi ya Mungu yalikusudia hivyo tangu awali.Na ikiwa jambo lake hupenda hupendelea kuuliza kwa Mungu wa Israel(YAHWEH), basi anatenda vyema kuliko angejishikiza kwa miungu ya milingotini kama wafanyavyo wanasiasa wengi. Lowasa...
  7. Eliya

    Utambulisho

    Wandugu/dada, kwa heshima na taadhima nawasalimuni. Nimekuwa nikifuatalia forum hii na nimejifunza mengi. Hatimae nimeamua kujisajili rasmi kwa nia ya kubadilishana uzoefu. Naomba mnikubali kama mmoja wenu. Ahsanteni.
Back
Top Bottom