BAADA ya Tanzania kusuasua kwa muda mrefu katika mauzo ya bidhaa nje ya nchi, hatimaye sasa mambo yameanza kubadilika, ambapo mauzo hayo yameongezeka kwa kiasi kikubwa, huku dhahabu ikitajwa kuchangia kupanda huko.
KwaB mujibu wa Ripoti iliyotolewa na Benki Kuu Tanzania (BoT) kwa kipindi cha...
JUMLA ya Sh bilioni 3.145 zimepokelewa mkoani Mwanza na Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kwa ajili ya kuwalipa fi dia wananchi. Watu hao ni watakaopisha ujenzi wa Daraja la Kisasa la Kigongo- Busisi lililopo Wilaya za Misungwi na Sengerema mkoani Mwanza. Hilo ndilo daraja...
TANGU kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini, mkoa wa Geita umeongeza ukusanyaji wa mapato kwenye sekta ya madini kutoka chini ya Sh bilioni moja kwa mwaka mpaka kufikia zaidi ya Sh bilioni 3.5 kwa mwaka.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Madini, Doto Biteko, alipokuwa akifungua Soko Kuu la Madini...
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema kuanzia mwezi ujao wakazi wa Mkoa wa Arusha, wataanza kufurahia huduma ya usafi ri wa treni ya abiria. Kamwelwe alisema wakazi hao ambao walikuwa wakisikia usafiri huo kwa wenzao wa Mkoa wa Kilimanjaro, sasa wajiandae kupata...
ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Mbinga, John Ndimbo amewaonya wabadhirifu wa fedha za miradi ya umma, kuacha uovu huo, kwani unaliangamiza taifa na kuumiza wananchi wa maeneo zilikoelekezwa kutumika.
Aidha, amemtaka kila mwananchi kutenda haki kwa upendo katika eneo lake, iwe kazini au nyumbani...
BAADA ya serikali kukazia msimamo wake wa kila mfanyabiashara wa madini, kufanya biashara ndani ya soko la madini, vinginevyo atachukuliwa hatua ikiwemo kutaifi shwa madini na kushitakiwa kwa uhujumu uchumi, katika muda wa siku 18 Soko la Madini mkoani Arusha limeuza madini mbalimbali yenye...
WATALII zaidi ya 450 kutoka Israel, wamewasili nchini mwezi huu kwa ajili ya kutembelea vivutio vya kitalii vilivyoko Kaskazini mwa Tanzania.
Watalii hao wamekuja nchini kwa kutumia ndege binafsi na za kawaida. Kundi la kwanza la watalii 150 liliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari (TPA), imesema inafanya upembuzi yakinifu katika bandari zote za Ziwa Nyasa unaolenga kuboresha miundombinu na kuimarisha shughuli za kibiashara katika ziwa a waandishi wa habari katika Bandari ya Kiwira iliyopo wilayani Kyela mkoani Mbeya.
Alisema wameamua...
Chuo cha Usafirishaji (NIT) kitaanza kutoa mafunzo ya urubani ambapo tayari kimepokea Tsh. 48.9 bilioni kutoka Benki ya Dunia (WB) kwa ajili ya ununuzi wa ndege 3 za mafunzo, kujenga karakana, na hosteli.
Inaelezwa kuwa Jumla ya wanafunzi 10 wanatarajiwa kuanza mafunzo hayo kwa mwaka 2020/21...
Shirika la Reli limepewa maagizo na Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe kuanza matumizi ya tiketi za kielekroniki kwa abiria wake ikiwa ni njia mojawapo ya kupunguza usumbufu kwa abiria na kudhibiti upotevu wa mapato unaofanywa na wafanyakazi wasiokuwa waaminifu...
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr. Maulid Madeni amekabidhi madawati na Meza 3900 kwa Afisa Elimu Sekondari wa jiji hilo kwa ajili ya wanafunzi wapya wanaoijunga na elimu ya sekondari mwaka 2020 lengo ikiwa ni kuondokana na tatizo la uhaba wa madawati na meza.
Akikabidhi madawati hayo, Dr.Madeni...
Rais Magufuli ameagiza vijana wote wenye elimu ya shahada ya kwanza waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) “Operesheni Magufuli” kupewa ajira katika taasisi mbalimbali za serikali.
Ujumbe huo ulitolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dk. Laurean...
WATU zaidi ya milioni tatu katika nchi za Tanzania na Kenya, watanufaika na Euro milioni 345 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kusaidia ujenzi wa barabara.
Barabara zitakazohusika ni za Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro na Tanga-Pangani-Bagamoyo katika awamu ya kwanza, ikiwa ni asilimia 78.5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.