Recent content by elisha2018

  1. E

    JamiiForums Tanzania Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

    Mkuu nipo kwenye NDOA ila mwanamke akifikia hyo steji aise mpe anacho taka ,UNAJUA nin kinakuja next NI kukuwekea sumu ama atafute njia nyingine ya kukumaliza so be careful brother mpe ......
  2. E

    JamiiForums Tanzania Non alcohol wine naipata wapi?

    Katika wine hatari droatyd hof nimoja ya wine ngumu sanaa
  3. E

    JamiiForums Tanzania Non alcohol wine naipata wapi?

    Kama anakichwa kibovu lazima a wake
  4. E

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu biashara ya kuagiza bidhaa China

    Nakupa tahathari hao majama asilina 90 ni wasani kwamfano mke wangu aliagiza mzigo toka kwao now ni mwezi wa 6 Unaenda ni sound 2 na ukikuta mkwell atakuletea mzigo kwell kwa bei rahisi ila transport fee inakuwa ni zaid ya bei ya mzigo ulio lipia co unajikuta umenunua kitu bei ya juuu zaid hata...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 10, nataka kufungua duka la hardware Arusha

    NINA MTAJI WA MILION 10 NAHITAJI KUFUNGUA HARDWARE SINA EXPERIENCE NA OMBA WAJUZI MSADA WENU NIPO ARUSHA
  6. E

    JamiiForums Tanzania Naomba nikufanyie kazi kwa Uaminifu ili nipate mtaji

    Pw kk utanichek 0767453525
  7. E

    JamiiForums Tanzania Naomba nikufanyie kazi kwa Uaminifu ili nipate mtaji

    Me nina project sema siyo nw kwanzia mwez wa 9 wa 10 iv
  8. E

    JamiiForums Tanzania UN Umoja wa Mataifa yaipongeza Tanzania kwa Amani iliyonayo

    Acha upuz ww ume2mwa syo
  9. E

    JamiiForums Tanzania Asiyesikia la Mkuu huvunjika guu, Telegram ni salama lakini sio salama 100%

    Sheria hebu niambie hao enyewe walio chaguliwa na raia wanafuata hzo sheria
  10. E

    JamiiForums Tanzania Asiyesikia la Mkuu huvunjika guu, Telegram ni salama lakini sio salama 100%

    Acha upuz ww unazan unamuogopesha nn sasa walio kutuma wambie wajarbu njia nyingine telegrama ni secure for 99% mbona kipind kile walishindwa kupata information kitoka Jamiforum 2 tena ya hapa Tamzania je kwa Telegram wataweza yan kwel mnao penda ma2mbo yenu mpo wengi sana kwenye hii mchi we...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili wazazi wake wasije kutoa mahari?

    Sister jarbu kufuata uhitaj wa moyo wako coz anaye olewa n ww wala siyo dada yako au familiya yako itakayo teseka wakat ww unakula msoto,some time wanaume tunaweza kuwa wabahili ili kumpima mwanamke kama kwel anaupendo wakweli la kn hapo kwenye kwenye kukubebesha mimba ikatoka bahat mbaya bila...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Namna ya kushinda kirahisi biko na tatu mzuka jadili maswali yafuatayo Kwa usahihi

    Hawa jama na wale wa moja bet n waiz kabisa aise
Back
Top Bottom