Recent content by ELISHA NINJA

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi, ushauri tafadhali!

    Mkuu Tutor B nahitaji tuongee inaonekana wewe ni msaada sana nachotaka kufanya wewe tayari umefanya
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi, Msaada wenu Wakuu

    Njoo pm kwa msaada zaidi
  3. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata internship TANESCO

    Uko wapi mkuu? Wala hakuna shida fika katika ofisi husika jieleze utapata nafasi na ukiwa vizuri ni rahisi kupata kazi
  4. E

    JamiiForums Tanzania Umeme Ruangwa ni shida, meneja awajibishwe

    Wakuu habari zenu tatizo la umeme hapa limekuwa sugu afu kibaya hakuna taarifa juu ya kutopatikana kwa umeme kila dakika unakatika ni wakati wa mabadiliko watu wasioendana na kasi ya hapa kazi tu hili ni jimbo la waziri mkuu linahitaji watu smart kazi zetu wengine zinategemea sana umeme
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda ipo?

    Habari zenu wakuu kutokana na wahisani wengi kujitoa kutusapoti nimepata sana mashaka juu ya mustakabali wa taifa letu,ukichukulia mheshimiwa Rais aliahidi kuifanya nchi yetu kuwa ya viwanda sasa kwa mwendo huu sidhani kama tutafika huko kiukweli raisi wetu ana kazi nzito sana ya kufanya,kwanza...
Back
Top Bottom