ELISHA NINJA
Member
- Mar 31, 2016
- 5
- 0
Wakuu habari zenu tatizo la umeme hapa limekuwa sugu afu kibaya hakuna taarifa juu ya kutopatikana kwa umeme kila dakika unakatika ni wakati wa mabadiliko watu wasioendana na kasi ya hapa kazi tu hili ni jimbo la waziri mkuu linahitaji watu smart kazi zetu wengine zinategemea sana umeme