ELISHA NINJA
Member
- Mar 31, 2016
- 5
- 0
Habari zenu wakuu kutokana na wahisani wengi kujitoa kutusapoti nimepata sana mashaka juu ya mustakabali wa taifa letu,ukichukulia mheshimiwa Rais aliahidi kuifanya nchi yetu kuwa ya viwanda sasa kwa mwendo huu sidhani kama tutafika huko kiukweli raisi wetu ana kazi nzito sana ya kufanya,kwanza kuhakikisha hakutokei deficit budget lakini pia fedha za maendeleo zinapatikana, Ushauri wangu kwa raisi ajilipue tu kwenye mikataba ya madini nchi ipone pale ndo kwenye fedha zetu