Recent content by Elisabeth Stephen

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wachina wakutwa na hatia ya kuwatupa wazamiaji wawili wa Tanzania baharini

    G had uv Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Askofu Samson Mushemba afariki dunia

    Alikuwa Mkuu wa KKKT miaka ya nyuma kidogo. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi na Gavana wa Benki Kuu nani ana mkwanja analindwa na Ni nyeti kuliko mwingine

    Wanapokutana vyombo vya Ulinzi na Usalama CDF ndio mkuu wao.Hilo ndio ilivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ubora wa Probox na Toyota Wish

    Probox ni ngumu kuliko Wish. Nimeziona sehemu mbalimbali hasa mkoani Kigoma zikiwa ndio gari za kubebea mizigo kwenda magulioni,Pia nchini DRC ndio gari za mizigo na taxi. Zinabeba mizigo hatari na zinavumilia.Na Engine yake ni ndogo ukilinganisha na wish. Wish IPO kwa luxury zaidi. Sent using...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Salary Advance: Janga linalowatafuna Watumishi wa Umma

    Kwa kweli hii salary advance imetusaidia sana na wala haiumizi.Riba ni kama Hanna vile.Naikubali hatari hii. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mafuta yazidi kushuka bei kwenye soko la dunia

    Wewe utakuwa ni mfanyakazi wa Ewura.Ni kweli yako chini ya dola 1 kwa kiasi kdg sana.Inatakiwa yashuke sana. Sisi huwezi kutulinganisha na Italy,France,UK nk ambao kwao mafuta yanazidi dola 1 kwa Lita.US na Canada yapo chini ya dola 1 na wapo vzr kiuchumi.Cc watu kibao tunaishi chini ya dola...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa mabati Buguruni

    Mbao zilizopo Buguruni note hazilingani urefu kwa 100%.Zinatofautiana cm 1 hadi 3 na nyingine ni tofauti ya nusu cm.Sasa futi wanayopimia huwa imekatwa katikati na imeungwa kwa ustadi wa hali ya juu,sio rahisi kupaona,hiyo ni moja watu wanapopigwa. Pili pale mbao inapopima wanaandika kwenye...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Picha zikionesha stesheni za reli ya kisasa - SGR zikiwa mbioni kukamilika

    Ndio uhame kwanza. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa janga la UKIMWI

    Sasa hivi inaitwa eSwatini Sent using Jamii Forums mobile app
  10. E

    JamiiForums Tanzania Pombe ilichonifanyia: Ndoto zimeyeyuka nahisi ‘nimeukwaa umeme’, nina hofu huenda nisiishuhudie Tanzania ya Viwanda

    nickder, Kama ulikaa miezi miwili ndio ukapima na kukutwa -ve, wala usiwe na wasiwasi. Wewe ni mzima.Miezi miwili inatosha KBS kujua unao au la kama ulitembea na demu huyo tu. Ila kama uligonga karibuni sana demu mwingine hapo ndio Shida kidogo. Hayo ya kuumwa umwa ni wasiwasi wako tu.Ni...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa mawazo juu ya gari gani ya familia ninunue

    Chukua Toyota Rush,INA nafasi ya kutosha na engine yake ni ndogo cc 1490.Unafika popote bila wasiwasi.Nadhani haizidi m 17 ukiagiza.Hutoijutia.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Lake Tanganyika Upo Kigoma Mjini Maeneo Gani?

    Upon Jirani na Central police station ya Kigoma.Panda magari yanayoenda Ujiji shukia kituo cha Hospitali ya mkoa.Ukifika hapo ulizia Central, baada ya Central police utauona kwa mbele.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    Kuna gari inaitwa Rush,hii spare zake ni nyingi au ni ghali sana? Nimeona cc zake hazitofautiani na kina Raum,Premio na Ti.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nichukue gari aina gani kati ya Runx na Voltz

    Voltz cc 1790, Runx cc 1490.Bei pia ni tofauti.Runx unaweza pata kwa m 12 ,Voltz m 14 kupanda juu.
  15. E

    JamiiForums Tanzania MWANGA: Wilaya ya kishamba zaidi katika mkoa wa Kilimanjaro

    Mimi nyumbani ni Uchira kwa kuzaliwa na asili yetu ni Ugweno.Umeme nimezaliwa nimekuta umeshafika Uchira tena miaka ya 80 au 70.Vijiji vya jirani ambacho ni Mabungo,Pumwani ndio Umeme umefika mwaka 2000.Stand ya Njia panda kwa kweli ni aibu tupu kama ilivyo ya Mwanga.Kiufupi mkoa wa Kilimanjaro...
Back
Top Bottom