Nchi zinazoongoza kwa janga la UKIMWI

Nchi zinazoongoza kwa janga la UKIMWI

Takwimu sio sahihi mkuu...angalia vizuri.
 
HIZI TAKWIMU HAZIPO SAHIHI MI KWA MUDA MREFU NIMEHUSIKA NA KAZI ZINAZOHUSIANA NA UKIMWI KWA MUDA MREFU HIZI TAKWIMU NI ZA KUPIKA NA KAMA KWELI ZIMETOKA HUKO WHO LABDA KUNA AGENDA YA SIRI VINGINEVYO ALIYEITOA HII ALIKUWA NDANI YA PIPA LA GONGO.
umehusika na hizo kazi Tanzania ama duniani kote isije kuwa umehusika Tz tu hujui nchi nyingine hali ikoje ila unataka bishi tu

aya tupe uhalisia wa maambukizi kwa data duniani.
 
Back
Top Bottom