Kampein za uchaguzi zimeanza? Nani hawezi kumkamata mtu kama huyu? Ajifanye anajikuna tutamuona! Kuacha ufisadi kuchipuka! Nani asingependa kujua tshirt hiyo imetoka wapi na ziko ngapi etc. Siamini kuwa RPC kamwachia kwa shinikizo labda kama hafai.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mkuu wa wilaya ni mteule wa rais. Huyo ni mmoja kati ya wengi. Kukosa kwenda na vision hakuiondolei vision serikali ya kuwatetea wanyonge. Awe singled out yeye asaidiwe bila kigeneralise kuwa maDC wote hawana vision
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Pole sana kwa kipande kidogo cha maisha. Iweje, vyovyote ilivyo maana yake ni funzo kuwa tuwe makini katika maisha haya ya muda
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
3) isue si watu wa dini moja. Issue ni watu haokuonekana wanacolude kufanya uislam ktk mazingira yasiyo. Jiulize ilikiwajr kikapatikana kiwanja cha kujenga msikiti? Mbona kanisahapana?Iwrje msikiti ujengwr bila mhusika kujia kwa masna kaimu makamu mkuu wachuo? Je no vpincident su ni kwasababu...
1) Kwa kuwa hawakwenda chuoni kusali bali kusoma. Na kwa kuwa kusali si interest ya chuo. Na kwa kuwa kumeonekana kuna shida, basi ni juuya waumini kujipanga wakatafuta pahala nje ya mipaka ya chuo wakajenga nyumba za ibada. Ukianza kitumia mali za taasisi kuondoa inconveniencies za ibada ya...
What was not expected of you Zitto? You are talking of the bunge that called Makonda last time with your support. Now you stand with a man who was on private visit in the States and talken such. That man in Tanzania he is CAG.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Naipenda kawaida ya JPM. Atakaa kimya, siku akifyatuka wasipomtafsiri watapiga makofi.
Tukazane kuzalisha, kukusanya kosi, watashtukia inapita budget isiyoomba omba.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kagame ni rais bora. Kagame rais mbovu. Jinsi bora ya kuishi naye ni kumuwia mpole na kumuwia gangwe. Kinyume chake ni balaa. Anakaamini kakundi kake ka mgambo. Na sura za binti zake.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kama ni kweli kuna mambo ya kutafakari. Paka si kama mbwa. Yeye kwao ni kwenye chakula kikiisha anahama. Kupunguza myanya na fursa za wachache kukandamiza wengi anatimka?!?!
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Yaani kuna wakulima wanapeleka korosho sokoni lakini hawana mashamba walikovuna korosho? Kuna mtu anasema huo niunyanyaso?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Lo! Ushauri wa ajabu. Unamlaumu Makonda kwa kukemea ushoga? Kwako watalii waje hata kama wanaharibu mila zetu? Balaa
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Wanaudhi. Kuna mawili. Kuwafanyia kama alivyofanya Jaffo ili wajifunze. AU kuhakikisha wako nyuma ya mzoefu. Kuwatimua sio jema. Mkuu wa mkoa wa Dodoma awasimamie wa Iringa na mbeya. Wa Morogoro asimamie wa Dar nk. Wanapoelekea kustaafu "wanafunzi" watakuwa wamefuzu.
Sent from my SM-G532F using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.