Kama fedha ilitoka nje ya nchi.......remittance.....lazima alipe kodi ila kama ilikua hapa hapa ndani hili suala la kodi basi ni jipya
Sina uhakika 100%
Nataka niweke monitor zangu
Nna monitor 3 nmeziunganisha na VGA SPLITTER ila nahtaj stand ya kuekea coz nw zko tu mezani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kitu cha kwanza baada ya kufungua ni pamoja na kuchagua viongozi upyaaaaaaaaaaaa
Maana tuliowaacha hawafai #ifm #udom #udsm #kwingineko
Sent from my iPhone using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.