Strength za iPhone 4:
-Ni simu kali sana coz ilikua ni flagship ya Apple mwaka 2010
Weakness zake.
-Haina voice assistant Siri.
-Not upgradable to iOS 8
-RAM 512MB
-NO Micro SD
-Battery sio imara sana, and kama kawa it's non removable.
Kwa kifupi ni simu kali kwa miaka ile 2010. Wapinzani wake wakiwa Galaxy S1 sana sana.
Kwakua unatumia Ascend y300 now, uki switch to iPhone 4 utakua umeupgrade some how. Sio tu kwamba kutoka Android to iOS, bali camera quality ni zaidi na ina camera 2, screen size ya iPhone ni ndogo (3.5") while y300 ni 4" ila ya iPhone bora zaidi na design nzuri. So, utachokosa ni uondo wa screen kubwa tu. Vingine vyote cool sana.
Kama umeamua kuamia iOS toka android, basi jaribu 4s maana inapata zaidi updates za OS yake hadi hii iOS 8 inakubali.