Uzoefu:Kwa Aliewahi Kutumia/Anyetumia Iphno4

Uzoefu:Kwa Aliewahi Kutumia/Anyetumia Iphno4

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
419
Reaction score
117
Wakuu.Nina mpango wa kununua hii simu ila sina uzoefu nayo sana.Nimegoogle spcs zake lakini kwa kweli zingine zijazielewa.

Naomba kwa mwenye uzoefu na simu hii tafadhali anisaidie hasa weakness na strength.
Na jinsi ya kutambua feki na Original. Nitashkuru pia kama nitajuzwa hata current market price.

Muhimu:Kwa sasa natumia Huawei Y300
 
Iphone hua haina memory card slot, screen yake iko clear kwa jinsi inavyoonesha na ukiona ina chenga chenga ujue ni feki, camera yake nayo iko very clear...HDR nin na nin price itategemea unataka used au brand new...
 
Strength za iPhone 4:
-Ni simu kali sana coz ilikua ni flagship ya Apple mwaka 2010

Weakness zake.
-Haina voice assistant Siri.
-Not upgradable to iOS 8
-RAM 512MB
-NO Micro SD
-Battery sio imara sana, and kama kawa it's non removable.

Kwa kifupi ni simu kali kwa miaka ile 2010. Wapinzani wake wakiwa Galaxy S1 sana sana.

Kwakua unatumia Ascend y300 now, uki switch to iPhone 4 utakua umeupgrade some how. Sio tu kwamba kutoka Android to iOS, bali camera quality ni zaidi na ina camera 2, screen size ya iPhone ni ndogo (3.5") while y300 ni 4" ila ya iPhone bora zaidi na design nzuri. So, utachokosa ni uondo wa screen kubwa tu. Vingine vyote cool sana.

Kama umeamua kuamia iOS toka android, basi jaribu 4s maana inapata zaidi updates za OS yake hadi hii iOS 8 inakubali.
 
Mwaka wa 3 nko na iphone 4 yangu
Ukitaka isikuchoshe agiza marekani sio za china ambazo wanazo watanzania wengi
 
Boss, kama unatumia iDevice kuanzia iPhone 4s kuja mbele, unaweza ku-upgrade to direct from your iDevice.

Unatumia nini?

Natumia 4s kaka, nikienda kwa Software Upgrade sikutani na hiyo kitu.
 
Natumia 4s kaka, nikienda kwa Software Upgrade sikutani na hiyo kitu.

Bro, sorry, ipo ile ya kulipia tu (kwa developers), ya watu wote nadhani itatoka na iPhone 6.
 
Natumia 4s kaka, nikienda kwa Software Upgrade sikutani na hiyo kitu.
Boss, kama unatumia iDevice kuanzia iPhone 4s kuja mbele, unaweza ku-upgrade to direct from your iDevice.

Unatumia nini?
mkuu Rogie hautaweza kuUpdate (Beta vesions) moja kwa moja kwenye iPhone yako (OTA) updates. ipo IOS 8 Beta 4 sahv.. download torrent yake hapa kulingana na model ya iPhone yako alafu restore kwa iTunes kutumia computer..(http://kickass.to/usearch/iOS 8 beta 4/)
 
Brother na wewe developer nini? Inabidi ujiandikishe as a developer katika Apple web na kulipa fee ya US $99 per year, utakua unapata hiyo kitu kabla haijawa released kwa sie makanjanja.
Ni junior developer kaka. Ahsante sana
 
mkuu Rogie hautaweza kuUpdate (Beta vesions) moja kwa moja kwenye iPhone yako (OTA) updates. ipo IOS 8 Beta 4 sahv.. download torrent yake hapa kulingana na model ya iPhone yako alafu restore kwa iTunes kutumia computer..(http://kickass.to/usearch/iOS 8 beta 4/)

Hapo sijakuelewa!!!ukishaidownload then unaiwekaje kwenye iTunes?

Sent from my iPhone 4s using JamiiForums
 
na aliyewahi kutumia tecno f5 anijuze ilivyo nataka kununua
 
nimeiona ila nataka kupata maelezo kama ni nzuri kwa matumizi ninunue
 
nimeiona ila nataka kupata maelezo kama ni nzuri kwa matumizi ninunue

Lazima kwanza ujijue wewe ni mtumiaji gani wa simu? Wa kawaida au wale Heavy User?

Utajijua kwa kuangalia apps unazozitumia sana sana ni ngapi na zipi? Unatumia cm kwa music, kama camera, kama ofisi, kuchat chat tu, kuzurula browsing, pia jiangalie unakaa mbali na umeme kwa muda gani?

Hiyo simu ni kwa watumiaji wa kawaida. Wanaotumia kwa texting, social networks kidogo, browsing net kidogo na hawakai mbali sana na umeme maana battery lake sio la kuliamini sana, pia apps usiweke nyingi sana.

Baadhi ya sifa zake ni hizi:
-Kioo 4"
-Camera 5MP na mbele 2MP.
-RAM 1GB
-Proceasor Dualcore 1.3 Ghz
-Battery 1500mAh
-Android 4.2 JB
-Dual SIM kama kawaida
 
dah! mimi ni heavy user nahisi haitanifaa kuchaji mara 3 kwa siku ni ngumu. ASANTE KWA MAELEZO KAMILI
 
Back
Top Bottom