Recent content by Elinewinga

  1. E

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Uongo wa dereva wa Lissu ni kusema umefuatiliwa na gari muda wote hujachukua hata Namba ya gari?

    Jeri utalipwa hapa hapa duniani haya uliyosema kama sio kweli yatakurudia jaribu kuweka akiba ya maneno maana wewe ni mwandishi wa habari na ni kijana bado una safari ndefu mbele mwombe Mungu akusaidie akuongoze ktk maisha yako bila mungu na kutenda yaliyomema huwezi kutoka
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

    Naona wapinzani bungeni wanateswa sana kama kweli spika anataka kukaa nao basi wasipende kuwaonea au kuwatesa hakuna kisichokuwa na mwisho hapa duniani jamani kumbukeni pia maneno ya Mungu wakati mwingine
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ataka Mkapa na Kikwete Wafutiwe Kinga ya Kutokushitakiwa, Wapandishwe Kizimbani- Renatus Mkinga

    Kila goti litapigwa,waliosaini sheria au mikataba ndio waulizwe
  4. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Spika Ndugai watuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Ndesamburo

    Ameni.huu ndio uzalendo tusiangalie tofauti za vyama,Spika uko vizuri Mungu wa mbinguni akulinda
  5. E

    JamiiForums Tanzania Wabunge wahoji fedha za Rambirambi Arusha kutumika kwenye matumizi ya serikali

    Hii ni laana watu wanatafuta,kila chenye mwanzo kina mwisho,Mungu yupo na Mungu hapendi
  6. E

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete analima lakini Graduates kutwa na bahasha za khaki kutafuta Sehemu za Kujitolea

    Analima baada ya kustaafu kazi,unataka mtu amalize kusoma akalime inamaana alisomea kilimo au,jaribu kidogo kujiongeza maana unafikiri hata kilimo kinafanyika bila pesa waulize wanaolima wakwambie
  7. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, CDF mpelekeni Tundu Lissu mahakama ya kijeshi - court Marshall

    Kuna siku watu wataelewa ukweli kuhusu haya muda utasema,na hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho kila kitu Mungu anaona na tukimwomba kwa bidii tutaona yote kabla ya kuondoka hapa duniani.Mungu yupo na atuongoze atulinde sana tumalize salama
  8. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nchi hii inaonea sana wafanyakazi

    Tz inawezekana wewe ni mfanyakzi lakini bado haujui haki zako ndio maana kuna vyeti hewa vingi na watu waliozidisha umri wa kustaafuu.mungu anawaona
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge na Meya wa Moshi Mjini, wanyimwa kuingia Ikulu ndogo kuonana na Rais Magufuli

    Hii inasikitisha sana hivi vitu Mungu hapendi na kweli Mungu wa mbinguni anaona hii dhambi itazidi kuwagarimu watu jamani badilikeni maana na dunia nayo sasa imebadilika sana.hapa sasa nitaombea nini?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Rais anasema Eti anaomba muendelee kumuombea ili Urais usimpe kiburi na jeuri

    Leo amesema uraisi wake ni sisi tunao na huku majuzi kule dar alisema hakuna aliyemsaidia kupata uraisi alipiga kampeni peke yake.Ukitenda mema bila kupendelea upande wowote kazi yako inakuwa rahisi sana,bashite hakubaliki tenda haki na watu wasitishwe na uruhusu bunge ili wananchi wajue...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Trump: Ninakosa maisha yangu ya zamani.

    Kama kazi imekuwa ngumu kuliko ulivyotegemea si uombe kustaafu?Uraisi sio kazi ya kukimbilia ni kazi ya kumtanguliza Mungu mbele na kuomba hekima kuliko tunavyofikiri.Utazeeka mapema sasa
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli nimeelewa ni kwanini Rais na Serikali yake inapigwa vita sana

    Ndege huliwa kwa majina na kuna wa kifuani na mgongoni.kama hiki sio kipindi chako hutapata ila kama ni wakati wako utapata hewa sana.mambo ni magumu ila kipindi hiki unaambiwa kuna watu wanapiga dili kwelikweli kama huamini muulize jirani yako
Back
Top Bottom