Rais Magufuli awasili Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya ziara ya siku 3

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Leo Rais Magufuli amewasili mkoani Kilimanjaro ambapo atafanya ziara ya kikazi kwa muda wa siku tatu mfululizo.

Sambamba na ziara hiyo, Rais Magufuli anatarajiwa kuhudhuria sherehe za Mei Mosi ambapo atakuwa mgeni rasmi.

f0bcf4ea0b1656eba0ad95ccbd667dae.jpg
 
Karibu ewe kiongozi kwenye nchi yetu wewe unayetoka nchi ya jirani!! Hatunaga &**(( ujue kabla
 
Leo Rais Magufuli amewasili mkoani Kilimanjaro ambapo atafanya ziara ya kikazi kwa muda wa siku tatu mfululizo.

Sambamba na ziara hiyo, Rais Magufuli anatarajiwa kuhudhuria sherehe za Mei Mosi ambapo atakuwa mgeni rasmi.

f0bcf4ea0b1656eba0ad95ccbd667dae.jpg
20acfb2b2471ed295a2850681e4dd38f.jpg
 
Magu na Kili....
Mimi ninakwambia atawasifia sana watu wa Kilimanjaro, kwani wao waliishachana na siasa uchaguzi ulipoisha, sasa hivi ni muda wa kufanya biashara ili kujipatia kipato. CCM na CHADEMA wanafanya kazi za kuwaletea wananchi maendeleo ili ikifika 2020 kila chama kiweze kujibainisha na maendeleo kiliyoyaleta ili kupata ridhaa ya wananchi kuongoza. Full stop.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom