Recent content by Elinaza G Sendoro

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    Kwani alieuwa hajulikani uchunguzi wa nn
  2. E

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

    na me nimoo
  3. E

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na kesi za Wapinzani

    Kwa hali iliyopo ss mihimili inayojitegemea kama Mahakama, bunge, hata police wetu wanafanya kazi kwa mashinikizo ya kisiasa hili si jambo la chadema wote twapaswa kuwa na sauti moja kukemea jambo hli
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa doctor naombeni ushauri

    Kwenye afya ajira bado zipo mshahara pia si mbaya ila uwe na chachu ya kujiendeleza baada ya kuanza kazi clinical officer bado ni cheo cha chini sana hvyo utafanya kazi kwa mipaka
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Ni nyama yenye soko kuliko nyingine kwa ubora ilionao
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

    Kuna watu wamezaliwa na ujinga na watakufa nao
  7. E

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini na Lissu maana hana cha kupoteza

    Nimeishia kati nimeona hujitambui we need freedom of speech
  8. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    Kuwa chama cha upinzani ni nia thabiti toka moyoni ya kusaidia kukosoa taifa kulitoa hapa lilipo na si masilahi binafsi so kamanda mbowe endeleza mapambano wa Tanzania tupo nyuma yako
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inaogopa vyama vya Siasa kufanya mikutano ya hadhara?

    Akili yako fupi ww hujui kuwa mikutano ya hadhara imefutwa. Ccm hawana sera watasema nn milioni 50 kila kijiji kimya,katiba mpya, mikopo ya wanachuo, mishahara kwa wafanyakazi haijapanda hata annual increment mambo mengi ya msingi hakuna lililofanyika
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni

    Nyarandu ana nguvu ya kisiasa kuliko huyo Mkumbo japo wamechagua mtu ambae ataonyesha upinzani wa kweli
  11. E

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wafanye nini ili kuing'oa CCM?

    Katiba mpya kwanza tume iwe huru hlo ni jambo juu ka kwanza
Back
Top Bottom