Serikali iachane na kesi za Wapinzani

Hivi nyinyi bavicha huwa mna akili za kutosha hata kijiko?

Hamujui hata kwamba mahakama ni mhimili unaojitegemea??

Chadema ni janga

Kwa hali iliyopo ss mihimili inayojitegemea kama Mahakama, bunge, hata police wetu wanafanya kazi kwa mashinikizo ya kisiasa hili si jambo la chadema wote twapaswa kuwa na sauti moja kukemea jambo hli
 
Kampe wewe dhamana utukane makusudi utegemee dhamana,sasa ataenda kujielezea vizuri raisi alimuua nani?Break za mdomo hamna afu mnalia dhamana dhamana

Pumbaaaaaf kabsa! Dawa inachemka hakuna marefu yasiyo na ncha...!!!!Ipo siku...!
 
Kinachoonekana kwa sasa ni huu Utawala wa Rais Magufuli kujikita kwenye siasa za chuki dhidi ya Wapinzani. Karibu Wabunge na Viongozi wote wa Upinzani kwa sasa wana aidha kesi 1,2 au 3 hadi 8 kama Mhe. Tundu Lissu zinaendelea Mahakamani na wengine wako Mahabusu. Kesi zote zinahusu UCHOCHEZI na hakuna kesi ya UFISADI, WIZI au KUGHUSHI NYARAKA zozote...!!

Nitarejea kesi mbili muhimu zinazowahusu Wabunge machachari wa CHADEMA. Kuna Mhe Godbless Lema(MB-Jiji la Arusha) na Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu(MB-Jiji la Mbeya). Kesi zote zina dhamana kulingana na Haki,Sheria na Katibaya nchi lakini kwa maksudi Mhe. Lema alikaa mahabusu miezi 4 pamoja na juhudi zote za kumpigania atoke kwa dhamana. Jambo lilelile lilofanyika Arusha kwa sasa linajirudia Mbeya mjini kwa Mhe. Sugu na kwa mazingira yaleyale ya madai ya kumkosoa Rais Magufuli hivo kufunguliwa kesi ya Uchochezi na kunyimwa dhamana.

Tayari kuna kila dalili ya kumfanya Mhe. Sugu aendelee kusota remande kwa kesi ya Uchochezi kwa wiki, miezi au hata mwaka huku ushahidi wa upande wa Serikali ikiwa ni kanda iliyorekodiwa tarehe 30/12/2017 katika mkutano wa Mbunge wa Mbeya akiwa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu ikionyesha kuwa alimkosoa Rais au kumkashfu....!!!Upande wa Serikali wanang'ang'ania kuwa Mhe. Mbilinyi na Mhe.Emmanuel Masonga-Katibu CHADEMA Nyanda za Juu Kusini kuwa hawawezi kupewa dhamana maana itahatarisha usalama wao...!!!Sijui ni kwa vipi na kwa namna gani. Kwamba watuhumiwa walitoa lugha sijui chafu au ya kumkosoa Rais iwapo wakipewa dhamana watahatarisha usalama wao..!!!Kivipi??Haingii akilini.

Kama Rais Magufuli juzi kwenye sherehe za Uhuru waJMT aliweza kuwaachia HURU watu waliokuwa wamefungwa JELA MAISHA au HUKUMU YA KIFO kwa kesi za MAUAJI na KUBAKA WATOTO WACHANGA, inakuwaje Waheshimiwa Wabunge wa UPINZANI ambao ni Viongozi wa Wananchi kwa kuchaguliwa tena kwa kura nyingi sana kwenye majimbo yao wanang'ang'aniwa kwa kesi za kutengeneza kwa kisingizio cha Uchochezi??? Naomba Mahakama Kuu ya Tanzania iingilie kati na itoe TAFSIRI au ufafanuzi wa neno UCHOCHEZI na ni wakti gani mtu au raia anaangukia kwenye makosa ya UCHOCHEZI.

Haiwezekani mtu aliyaua, aliyebaka au kulawiti, aliyeiba au kufisidi leo anapewa msamaha wa Rais Magufuli huyuhuyu ambaye hataki Mbunge wa Upinzani apewe dhamana kwa kutumia haki yake ya Kikatiba kama Raia wa Tanzania na Mbunge kuikosoa Serikali yake anawekwa Mahabusu na kufunguliwa kesi za Uchochezi na ikibidi afungwe miezi au Miaka kadhaa...!!!Tumeona kwa Mhe. Peter Lijualikali(MB)-Kilombero kwa kufungwa jela miezi 6 kwa kosa la kubambikiwa tu...kisa ni Mbunge wa Upinzani. Lakini Babu Seya na kijana wake waliobaka watoto wetu leo wako huru na walishakaribishwa Ikulu na Rais Magufuli kama Wafalme!!!Hii ni kitu haiingii akilini asilani!!!!.

Nina hakika Dunia inaposoma na kusikiliza Habari za Tanzania inajiuliza mara 2 hii nchi inaongozwa na watu wa aina gani. Si ajabu M-7 amempongeza Rais Trump wa Marekani kwa kuwapa vidonge vyao viongozi wa Afrika akiwemo na M-7 mwenyewe kwa namna wanavyo lidhalilisha Bara la AFRIKA!! Heshima ya Afrika imeondoka na kina Nyerere,Mandela, Nkrumah na Kaunda kwa kuwataja wachache...!

Wasalaam.
Sasa Kama ujui waandika nini?
 
Akiachana nao asa atajengaje viwanda na atapelekaje mil50 kila kijiji.....wapinzani ndo waliosababisha viwanda vyote vilivyoachwa na wakoloni vife alafu ndo wanaosaini mikataba ya nchi kwa maslahi yao..........acha aendelee ili tupate maendwleo ya kweli kwani yy ni rais wa wanyonge wa mwanza wasiotakiwa kubomolewa wana machinga wa huko hawatakiwi kubughudhiwa maana ndo waliomweka mkulu madarakani
 
Trump kasema kweli kuna hata maraisi wa Tundu la mavi (shithole presidents). Unaharibu hela kununua madiwani, wabunge halafu unaharibu hela kufanya uchaguzi. Je namna hiyo si ni kuwa shithole president?
 
...mwacheni aendelee na crackdown ya wapinzani...bado hajajua kuwa hili ndio linaweza kuwa anguko lake....hizo hela anazotumia hovyo kupambana Na wapinzani...ikiwemo kuwanunua....ama marudio ya hovyo ya chaguzi za kulazimisha....iko siku zitawatokea puani.....maana mambo ya msingi yanayohusu Ustawi wa umma wameyaweka pembeni.....iko siku wasiyojua yote yatawageuka....Na watu watasimama....Na kudai kilicho Chao.....hakuna utawala dhalimu iliyobaki salama kwa kukandamiza haki za RAIA wake....
 
Hivi nyinyi bavicha huwa mna akili za kutosha hata kijiko?

Hamujui hata kwamba mahakama ni mhimili unaojitegemea??

Chadema ni janga
Ungekuwa ni muhimili unaojitegemea TANROADS wasingevunja nyumba za watu kimara wakati kuna zuio la mahakama.
 
Kinachoonekana kwa sasa ni huu Utawala wa Rais Magufuli kujikita kwenye siasa za chuki dhidi ya Wapinzani. Karibu Wabunge na Viongozi wote wa Upinzani kwa sasa wana aidha kesi 1,2 au 3 hadi 8 kama Mhe. Tundu Lissu zinaendelea Mahakamani na wengine wako Mahabusu. Kesi zote zinahusu UCHOCHEZI na hakuna kesi ya UFISADI, WIZI au KUGHUSHI NYARAKA zozote...!!

Nitarejea kesi mbili muhimu zinazowahusu Wabunge machachari wa CHADEMA. Kuna Mhe Godbless Lema(MB-Jiji la Arusha) na Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu(MB-Jiji la Mbeya). Kesi zote zina dhamana kulingana na Haki,Sheria na Katibaya nchi lakini kwa maksudi Mhe. Lema alikaa mahabusu miezi 4 pamoja na juhudi zote za kumpigania atoke kwa dhamana. Jambo lilelile lilofanyika Arusha kwa sasa linajirudia Mbeya mjini kwa Mhe. Sugu na kwa mazingira yaleyale ya madai ya kumkosoa Rais Magufuli hivo kufunguliwa kesi ya Uchochezi na kunyimwa dhamana.

Tayari kuna kila dalili ya kumfanya Mhe. Sugu aendelee kusota remande kwa kesi ya Uchochezi kwa wiki, miezi au hata mwaka huku ushahidi wa upande wa Serikali ikiwa ni kanda iliyorekodiwa tarehe 30/12/2017 katika mkutano wa Mbunge wa Mbeya akiwa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu ikionyesha kuwa alimkosoa Rais au kumkashfu....!!!Upande wa Serikali wanang'ang'ania kuwa Mhe. Mbilinyi na Mhe.Emmanuel Masonga-Katibu CHADEMA Nyanda za Juu Kusini kuwa hawawezi kupewa dhamana maana itahatarisha usalama wao...!!!Sijui ni kwa vipi na kwa namna gani. Kwamba watuhumiwa walitoa lugha sijui chafu au ya kumkosoa Rais iwapo wakipewa dhamana watahatarisha usalama wao..!!!Kivipi??Haingii akilini.

Kama Rais Magufuli juzi kwenye sherehe za Uhuru waJMT aliweza kuwaachia HURU watu waliokuwa wamefungwa JELA MAISHA au HUKUMU YA KIFO kwa kesi za MAUAJI na KUBAKA WATOTO WACHANGA, inakuwaje Waheshimiwa Wabunge wa UPINZANI ambao ni Viongozi wa Wananchi kwa kuchaguliwa tena kwa kura nyingi sana kwenye majimbo yao wanang'ang'aniwa kwa kesi za kutengeneza kwa kisingizio cha Uchochezi??? Naomba Mahakama Kuu ya Tanzania iingilie kati na itoe TAFSIRI au ufafanuzi wa neno UCHOCHEZI na ni wakti gani mtu au raia anaangukia kwenye makosa ya UCHOCHEZI.

Haiwezekani mtu aliyaua, aliyebaka au kulawiti, aliyeiba au kufisidi leo anapewa msamaha wa Rais Magufuli huyuhuyu ambaye hataki Mbunge wa Upinzani apewe dhamana kwa kutumia haki yake ya Kikatiba kama Raia wa Tanzania na Mbunge kuikosoa Serikali yake anawekwa Mahabusu na kufunguliwa kesi za Uchochezi na ikibidi afungwe miezi au Miaka kadhaa...!!!Tumeona kwa Mhe. Peter Lijualikali(MB)-Kilombero kwa kufungwa jela miezi 6 kwa kosa la kubambikiwa tu...kisa ni Mbunge wa Upinzani. Lakini Babu Seya na kijana wake waliobaka watoto wetu leo wako huru na walishakaribishwa Ikulu na Rais Magufuli kama Wafalme!!!Hii ni kitu haiingii akilini asilani!!!!.

Nina hakika Dunia inaposoma na kusikiliza Habari za Tanzania inajiuliza mara 2 hii nchi inaongozwa na watu wa aina gani. Si ajabu M-7 amempongeza Rais Trump wa Marekani kwa kuwapa vidonge vyao viongozi wa Afrika akiwemo na M-7 mwenyewe kwa namna wanavyo lidhalilisha Bara la AFRIKA!! Heshima ya Afrika imeondoka na kina Nyerere,Mandela, Nkrumah na Kaunda kwa kuwataja wachache...!

Wasalaam.
Tatzo lenu ufipa mnaakili fupi kama mkojo wa panya alafu mlivyokua manyumbu kila mtu akitoa tamko bila kufikiri mnaliona la maana ,,,mahaka ni muhimili unaojitegemea so msituletee upumbavu wenu
 
Hivi nyinyi bavicha huwa mna akili za kutosha hata kijiko?

Hamujui hata kwamba mahakama ni mhimili unaojitegemea??

Chadema ni janga
Nchi imewashinda sasa mnahangaika kutumia ujinga wenu ambao ndiyo uliojaa huko kichwani kwenu
 
Back
Top Bottom