Recent content by Elinanho

  1. Elinanho

    ENEO LINAUZWA TABATA AMANI

    Nyumba inauzwa Tabata. Mahali: amani, Liwiti. Sifa za nyumba: •Ina vyumba vya 4 na sebule •Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa. •Ina umeme, maji pamoja. •Ina sehemu kubwa ya nje inayotosha kufulia, kuanika nguo na kupumzika. •ipo na njia kubwa ya mtaa kuelekea kitambaa cheupe na...
  2. Elinanho

    Keko, Dar: Teja afariki na bomba la sindano mkononi

    Duh' hatar sana' hii vita ni yetu sote.
  3. Elinanho

    Mbeya wakubali mabadiliko

    Nimeongelea katika nafasi ya ubunge mkuu, pia hata ktk uraisi lowasa ananafasi kubwa ya kushinda kwa kishindo mbeya mjini.
  4. Elinanho

    Mbeya wakubali mabadiliko

    Kwa jinsi nivyo ona, asilimia kubwa ya wana mbeya ni UKAWA, kila pahala napo pita ni shamra shamra za magari ya matangazo na nyimbo za kukebehi ccm "bora ukimwi kuliko ccm" hiyo ndiyo kauli mbiu katika vijiwe' wengine wakitia nakshi kwa kusema bora ebola, hakika ukawa na mbeya damdam, Katika...
  5. Elinanho

    King'amuzi cha Continental!

    Shukran mkuu.
  6. Elinanho

    King'amuzi cha Continental!

    Naombeni frequency za continental tv
  7. Elinanho

    Maswali ya interview walioitwa NSSF

    Nimepigiwa simu ya mabadiliko ya serial number, kuna mwingine alopigiwa??
  8. Elinanho

    Ajira NSSF

    Kweli maana mpaka leo kimya, sijasikia interview mpaka sasa
  9. Elinanho

    camera360

    haipo naona hii inaubora mdogo then ipo tofauti
  10. Elinanho

    Project funding sources

    TIB pia wanafund kwa riba ndogo xana sawa na bure we tuwasiliane tujue watakusaidia vp but wanataka business plan iliyoshiba.
  11. Elinanho

    Nyumba inauzwa

    Nyumba inauzwa maeneo ya tabata luwiti ina vyumba vitano na sebule, yafaa kwa biashara na kuishi kwa kua ipo barabarani, pia ina eneo dogo la kuongeza vyumba kama vitano kwa wanaohitaji tuwasiliane kwa namba 0768197148/0714996493
Back
Top Bottom