camera360

camera360

sindibari

Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
27
Reaction score
7
vipi wadau hii camera wameindoa nini..naitafuta lakini sijaipata,nakuta nyingine ambayo imefanana nayo ambayo ubora wake haiko poa
 
Hii kitu Mimi huwa siielewi kabisa jinsi inavyotumika.Naombeni elimu tafadhali.
 
Hii kitu wadada wanatuibia sana online, inawafanya wanaonekana wakali ukikutana nao face to face utatamani ukimbie.
 
Chezea 360 wewe ...... Utadeki bahari
 
cheki simu yako ndio itakuwa haina flash. ubora utatoka wapi bila hiyo?
 
Back
Top Bottom