Recent content by Elimu kwanzaBM

  1. E

    JamiiForums Tanzania Rais akikosolewa ndani ya chama "anawapoteza",nje ya chama "anawashughulikia"bila huruma,serikalini

    msemaji ukweli umenena maneno kuntu kwa wapinzani namnawanavyowageuza watanzania kama chapati utasikia wanawaaminisha wananchi kuwa kiongoz fulani hafai na tunaushaid afu akihamia kwao wanasema ni mtu safi na hakuna ushaidi kuwa huyo mtu n fisadi .USHAURI WANGU NAOMBA WATANZANIA TUWE NA MSIMAMO...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Watu kuwa na uhuru wa kusema ni afya kwa taifa

    Kweli Lole!!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara tuuzieni mafuta ya taa(Temeke)

    jamani ni wiki sasa mafuta ya taa katika sheli mitaa ya Temeke hayapatikani kila sheli kunakibao kimeandikwa HAKUNA MAFUTA NJOO BADAE!! kila siku kibao kiko hivhv. sijui wanasubili tatehe za bei mpya!!! jaman wafanyabiashara mtuonee hurumaa sisi sote ni waja wa mungu mmoja!!.
  4. E

    JamiiForums Tanzania UKAWA ni kama haina Agenda kwa sasa

    yangu macho!!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnasema "tatizo siyo mtu, tatizo ni mfumo" mnasemaje sasa?

    salary slip umesema kweli maana kama tuliambiwa lowassa ni fisad tukaamini afu walewale walio sema n fisad wakaibuka na kusema ni msafi tukaamini tena na kuanza kumtetea bila hata ya kuwa uliza kwann mwanzo walisema mwizi.. mm kwa hali hii naona Trump anatufaa sana ili unafiki na uchama utuishe...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

    pasco kuna mjomba ako katumbuliwa eti?!! mbona hueleweki mbona nyie watu wanafiki sana!! eti ukisikia kiongoz wa ukawa kaongerea kupungunguzwa mishahara minono na mashangingi mnasifu!!!!! ila akisema magu mnapinga!! kwa hali hii Trump anatufaa sana ili unafiki na uchama uishe
  7. E

    JamiiForums Tanzania UKAWA kaeni chonjo hii kamata kamata ya TAKUKURU inakuja kuwabomoa!

    ni kweli waliingia mkenge haswaaaaaa
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Rais Magufuli kumpigia magoti Kikwete na Membe

    acheni izo gufuli songa mbele
  9. E

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli trilioni 6 hizi hapa

    goody goody hata dr slaa alipokuwa anahutubia moja ya chuo kikuu marekani alikataa misaada ya ajabuajabu na wana cdm tulimsifu kwa hilo iweje leo tulilie misaada ya mcc kama sio unafki na uchama nin?!!!!!!!!
  10. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

    bora kuwa maskin jeuri kulikokujinyenyekeza kumba misaada mwishowe tutakubali USHOGA!! viva maguuuu
  11. E

    JamiiForums Tanzania Rais ahirisha mapumziko uje kuhutubia taifa, tunataka ufafanuzi wa MCC

    nani kapaniki tena!!!!! misaada yenyew inatutia umasikn kwa mashart yao magumu!! acheni kuwalilia watu wa magarbi hadi inafika hatua wanasema tufanye USHOGA afu bado unalilia misaada yao are you ok?!!!!! viva magu tia masikn jeuri walitufanya shamba la bb
  12. E

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    acheni wivu!!
  13. E

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Maadui wakuu wa Rais Magufuli na serikali yake!

    mleta mada nashukuru kama uyasemayo ni ya kweli!!! viva magu viva viva mugabe afrika ni yetu tumepewa na allah!! wasitufanye mazuzu hii ni karine nyngine!!
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ni mzaha kuamini UKAWA ingeleta mabadiliko chini ya Lowassa

    unasema twende mahakamani wakat chadema ndomliosema kua yy n fisad afu mkamsafisha wenyew kwa sabuni ya gwanji!! cdm ndio mnamauzauza na tamaa hamna msimamo!!
  15. E

    JamiiForums Tanzania Hongera Paul Makonda kuwa RC wa Dar, unastahili

    safi sana makonda!#
Back
Top Bottom