Wafanyabiashara tuuzieni mafuta ya taa(Temeke)

Dec 30, 2015
24
6
jamani ni wiki sasa mafuta ya taa katika sheli mitaa ya Temeke hayapatikani kila sheli kunakibao kimeandikwa HAKUNA MAFUTA NJOO BADAE!! kila siku kibao kiko hivhv. sijui wanasubili tatehe za bei mpya!!!
jaman wafanyabiashara mtuonee hurumaa sisi sote ni waja wa mungu mmoja!!.
 
Back
Top Bottom