UKAWA ni kama haina Agenda kwa sasa

VINS

JF-Expert Member
May 10, 2014
293
195
Kwa sasa naona hakuna umuhimu wa uwepo wa ukawa kwakuwa ni kama kila mtu anashika njia yake, hakuna vikao vya pamoja wala feedback kwetu juu ya mipango yao na utekelezaji. UKAWA wanasimamia jambo gani kwa sasa?
 
Agenda ya CCM ni kuzoa uharo iliyoharisha yenyewe. Eti mnaisifia ina agenda!
 
Kwa sasa naona hakuna umuhimu wa uwepo wa ukawa kwakuwa ni kama kila mtu anashika njia yake, hakuna vikao vya pamoja wala feedback kwetu juu ya mipango yao na utekelezaji. UKAWA wanasimamia jambo gani kwa sasa?
Kwani hujui imeshakuwa UKIWA maana Magufurika ametekeleza yote so hawana cha kupinga tena
 
Mapema sana mmetuzidi kwa kucheza pass nyingi
Tupeni muda maana ndo kwanza hata dakika 15 bado huwezi tangaza ushindi mapema hii
Sisi twaamini tutawashinda tu
 
ILI MUIBE VIZURI ASIWEPO WA KUWASTUA SIO? UKIMUACHIA NGADERE SHAMBA LA MAHINDI UNATEGEMEA NINI? WAPO BADO MNATUMBUANA KWA KUKWEPA AIBU JE WASINGEKUWEPO TZ INGEKUWA NA HALI GANI?
 
Ni kama fisi anayesubiri mkono wa binadamu udondoke ( Mshahara wa rais, Lugumi, uonevu wa kusimamisha watu, misifa ya raisi, deni la taifa na MCC)
 
Zanzibar imebuma
Kwasasa wanasubiria Rais atumbue
Wamtetee mtumbuliwa

Hawa tuendako Rais akisema SHETANI nijipu
Wao wataanza kumtetea
 
Ni kama fisi anayesubiri mkono wa binadamu udondoke ( Mshahara wa rais, Lugumi, uonevu wa kusimamisha watu, misifa ya raisi, deni la taifa na MCC)

Sio siri UKAWA hawana agenda kabisa hilo linaeleweka.Ni watu wanaishi tu kwa yanayotokea na hasa yanayoandikwa magazetini, wanaishi kwa kutegemea zaidi habari za magazetini na kwenye mitandao ya kijamii.Lakini kama vyama hamna kitu.Ndio maana wenye akili zetu tuko CCM
 
Mapema sana mmetuzidi kwa kucheza pass nyingi
Tupeni muda maana ndo kwanza hata dakika 15 bado huwezi tangaza ushindi mapema hii
Sisi twaamini tutawashinda tu
Lakini zinatosha kujua upepo wa mchezo unavyokwenda.

Binafsi nawapongeza sana wapinzani awamu iliyopita mmeibua uozo mwing sana maana serikali ilikuwa ya kifisadi sana.

but this time nawaomba muungeni mkono rais maana ameonesha kwa vitendo kuwa haupendi ufisadi.
 
Kwa sasa naona hakuna umuhimu wa uwepo wa ukawa kwakuwa ni kama kila mtu anashika njia yake, hakuna vikao vya pamoja wala feedback kwetu juu ya mipango yao na utekelezaji. UKAWA wanasimamia jambo gani kwa sasa?
Agenda ya UKAWA ni kutaja majambaz yaliyoficha pesa USWIS
Bado magufuli hajafanya hata nusu ya kile watanzania tunakihitaji
kwanza Tunataka iwe kikatiba mikataba ya rasilimali za hii nnchi isiwe siri kwa maana ikiwezekana ijadiliwe wananchi tujui ni kias gan cha kodi kinapatikana kwenye uchimbaj wa madini.
Mbili Pesa zote zilizofichwa nnje ya nchi ambazo hazlipi kodi serikalin, kodi zake zpatikane na kusiwe na ujanja unja uliokuwepo kipind cha utawala uliopita ambapo A.G na wanaccm wengine waliikabidhi serikali ifuatilie na mwisho wa siku hoja ikazimwa
 
nilisha wapa ushauri wangu namna ya kuendeshA siasa zao, kama hawatafuata ushauri wangu ajipange kupoteza majimbo mengi 2020
 
Back
Top Bottom