mmmh sio poa man. miez 18 unapiga kozi tu.
na vip kuhusu hao makomando wanao fuga ndevu na rasta, ndani ya hao makomando nao wanakuwa na kikundi chao cha peke yao au inakuaje hapo.?
ni vizuri ukanyoa hiyo midevu kwa style ya kawaida tu ya kifaza au ukatoa kabisa.
kuliko kuwapelekea hiyo midevu iliyojaa uso mzima. haita pendeza kimuonekano.
kitu cha kwanza cha kuzingatia ni muonekano wako then mambo mngine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.