Recent content by elibariki

  1. E

    JamiiForums Tanzania GE2010 Rostam Ashinda kwa Kishindo tena

    Maeneo mengi ambayo wameikumbatia ccm ndo masikini wa kutupa (situkani lakini ndo ukweli kwa kuwa mie pie natoka huko),igunga,singida, dom n.k,mtu akilishwa mkate na soda tu humuambii kitu kuhusu ccm,mtuvuna mlichopanda
  2. E

    JamiiForums Tanzania GE2010 Slaa Atafanya nini baada ya kuapishwa JK?

    Kwanini unauliza kabla final results hazijatolewa?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

    Kila baada ya tufani kuna anga zuri la dhahabu, nguvu ya umma itashida hata kama sio leo
  4. E

    JamiiForums Tanzania CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Very correct great thinkers, Kibonde hopeless kweli nafikiri njaa inamsumbua vibaya.Hamna lolote la maana analolijua huyu jamaa, kwanza kipindi chake kinasikilizwa na mashosti zaidi ya watu wa kazi.Nafikiri asipojirekebisha wana JF tutammaliza kwa hoja na comments zilizoenda vitivo
  6. E

    JamiiForums Tanzania GE2010 Poor Media Houses and Journalists

    Your very correct bro hii imenisababisha nisiangalie hata hizo tv station,kwa kuwa report ziko biased kweli.Njaa tu inawasumbua hawa halafu wamesahau kuwa huwezi kuizuia mvua kunyesha!!!!!!!!!!
  7. E

    JamiiForums Tanzania GE2010 Sheikh yahaya anazungumza nini juu ya matokeo yanayoendelea kutoka

    Hana maana huwa anawatabiria ccm tu maana ndo anawapa walinzi wasioonekana
  8. E

    JamiiForums Tanzania GE2010 Matokeo ya awali jimbo la Kilombero na matukio ya ajabu

    <p> </p> <p>&nbsp;</p>
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hi, am a new member!

    JF is the house of thoughts, since i am a revolutinalist i will follow the rules and express my mind openly
  10. E

    JamiiForums Tanzania GE2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

    Mungu yupo hata wakichakachua Mwanasheria Mkomavu lazima aibuke kidedea,aluta continua
  11. E

    JamiiForums Tanzania GE2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

    People'sssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss Tutataendelea kuwakimbiza mpaka kieleweke
Back
Top Bottom