wana nazani TUME wawe wanakagua VYETI VYA wanaojumlisha kura,SABABU WENGI INAVYOELEKEA HAWAJUI HESABU RAHISI ZA KUJUMLISHA NA KUTOA,mpaka nnavyoongea maeneo mengi matokeo hayajatoka kisa BADO WANAHESABU KURA.shame:israel:
Sasa naamini kura yangu imehesabiwa! Hongera Mdee! Endeleza mapambano uliyoyaanza dhidi ya mafisadi Makamba na wenzake! Mtafute Daktari akupe ushauri wa kufanya ili sauti yako itoke vizuri ili usisite kutoa hoja zako zilizoenda shule. Wilaya ya Kinondoni ndo wilaya yenye watu makini katika mkoa huu ikifuatiwa na Ilala. Temeke bado wako kwenye usingizi wa pono:smile:
YES! As long as our LORD is inside, nothing is impossible outside! Well done Halima! Hongera Kawe kwa kutoichagua ccm na mchovu ncc---:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
Safi mno. Pongezi nyingi kwa Halima Mdee! Hongera mwanangu eeeeeeeeh hongera nami nikuhongereeeee hongera, naona furaha naona furaha tumbo la mamayo lilikuzaaa mwangu eeeee. Nenda kapumzike sasa, chukua likizo ukalale bila bughuda kwa resting house ou your choice. Same applies to Mnyika.
maandiko yametimia, mdee, zitto, nyika, Mbowe hii timu ni balaa, kuna tetesi-mipango inafanywa kumpa nafasi neti mkombozi wa watu haya ya kweli!Naomba simu ya Dr. wakubwa
Wakati wa kushangilia ushindi tunaopata kutoka majimbo yanayocheleweshwa kwa makusudi,yafaa tufahamu kuwa ucheleweshwaji unafanyika ili kupunguza gap ya kura za urais.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.