Recent content by Eliazery

  1. Eliazery

    Msaada mimi Mhandisi natafuta ajira

    Mimi ni Mhandisi Ujenzi ( Civil Engineer) naitwa Alemi.B.Eliazery mwenye uzoefu wa miaka 5 tangu nimalize Bachelor yangu ya Ujenzi katika chuo cha Mbeya University, Natafuta kazi/ Ajira sector yoyote iliyotayar kuniajiri au kunipa kazi kwani Niko tayar kufanya bila kuchagua mkoa au eneo la...
  2. Eliazery

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Ndugu na majamaa msaada kwa jirani yangu hapa anatatizo la muda mrefu la kutomtimizia mwanamke tendo la ndoa wawapo kitandani, Yaani tatizo lake anapokuwa mwenyewe au anapokuwa na mwanamke hisia zote anazipa na anaweza akasimamisha vizuri Na anaweza kumchezea Dem Hadi kufikia mwisho wakuanza...
  3. Eliazery

    Nahitaji Solar Ya M-Power

    Mm kwa sasa nipo Mjini Singida, Naomba kujua aina na viwango vya solar za M-power ili niweze kuchangua aina na uwezo unaweza kukidhi mahitaji yangu kwani nahitaji hiyo solar,hakika hiyo Solar naihitaji, mwenye kujua anayeziuza au agent yeyote aje tuwasiliane ili anipe moja mbili 3,anaweza kuni...
  4. Eliazery

    Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

    Nenda hospital ukapime kwani unatibika hata usijar,ila jitahid kutumia kinga au acha kabisa michepuko kama unaweza
  5. Eliazery

    Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

    Hiv kwa nn serikali umetuona sisi kama wananchi hatuna maana kwenye taifa hili? Kila limalotoka kwao lazima liambane na uongo!
  6. Eliazery

    Maneno machache kwa Spika wa bunge ndugu Job Ndugai

    Sasa mbona hajatuweka wazi alichokuwa ameendea na kipi amekiona huko mbashara?
  7. Eliazery

    Tukubaliane, sio kila anachosema huyu "Binti wa Insta" ni ukweli, hata hili la Kinana anapotosha

    Acha kutuzingua! Fanya Kazi zako,kama nikumfollow ndo tumezidisha zaid
  8. Eliazery

    Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

    Kwani huyo ninani?
  9. Eliazery

    Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

    Ok kama nikweli mdogo wake,tumsubiri Gwajima amjibu! Lakin ninaimani huyu kamtumwa
  10. Eliazery

    Msaada: Nahitaji kufungua kampuni ya ujenzi

    Changamoto ni network ya kupata kazi, maana Mara nyingi kazi zinatolewa kwa kujuana,ukifaulu hilo mengine yanajipeleka yenyewe,pia zingatia kufanya kazi kwa kufuata contract, zaid waweza kunifuta ini box kwan mm in Eng in Civil hivyo baadh nayajua kwani ndo fani yangu
  11. Eliazery

    Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

    Duu,pole sana,kwan i mlifunga ndoa halali au ni ile ya njoo tuishi wote, kama ningejua hilo ningekuwa na chakuongea au cha mushauri
  12. Eliazery

    Msaada: Siridhiki kufanya mapenzi

    Nitafute in box,hizo ni pepo mahaba zinakusumbua,na tiba ya mapepo ya namna hiyo tiba yake ni maombi na sivingenevyo! Yanatakiwa kukemewa ila hatuwa ya kwanza ni ww kuchukua shauri ya Kumkiri Yesu Kristo kuwa na mwokozi katika maisha yako yote!
Back
Top Bottom