jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,334
Ziara yako ya leo pale bandarini tumeshuhudia ukitumia mbinu ya aina yake ili kupata Live coverage kutoka kwa waandishi wa habari.
Hii inadhihirisha kuwa unajua pasipo shaka umuhimu wa watanzania kuhabarishwa Live!!
Kwa muktadha huu huu wa mkanganyiko wa mambo uliokulazimu ukaungana na kamati kuitembelea mamlaka ya bandari kupata unachoita "maelezo", itambue haki hii iliyokukereketa hata ukatumia mwaliko usio rasmi wa waandishi wa habari kwenye msafara wako toka airport hadi Bandarini ili tukuone MUBASHARA,
ILAZIMIKE MTUONYESHE BUNGE LIVE.
Kama tbc ni ghali uzeni haki hiyo kwa tv binafsi.