Recent content by ELIAS SABLAKI

  1. E

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kwa kawaida kwa tairi zote size eg 205/65r16 inafuatiwa na namba na herufi eg100H. 100 ina maana ya uzito wa tairi(load index) na H ni speed rating. Hizi ni muhimu sana kukuongoza uzito unaoweka na mwando unaokwena. Hapa 100 husimama kama kilo 800 kwa tairi na H ni 240km/h katika standard...
  2. E

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ikiwa tairi yako ni mpya, na ni original size iliyopendekezwa na mtengenezaji wa gari na upepo umejaza kulingana na ujazo uliopendekezwa kwa uzito ulio nao hakuna mabadiliko katika odometer na umbali halisi.Ikiwa tairi imelika madhalani millimita mbili basi kipenyo kitapungua kwa milimita nne...
  3. E

    Mchoro wa fly over ya Tazara itakavyokuwa

    Wakimaliza kujenga hiyo wanajenga hii Morogoro
  4. E

    Baada ya ajali nyingi kutokea, hatimae afande abadilishiwa sketi na kurudishwa kazini

    Duh kama hivi umeukata makwetu. Sasa mwacheni achape kazi. Hongera Linda kukubali mabadiliko hata ya picha tu.
  5. E

    Hivi sheria inazuia polisi wa kike kuwa na mvuto muone Linda Okello wa Kenya

    Perhaps Linda is wrong wearing such skirt vividly showing her God made structure; But may I know what action did her boss take the first time Okello was in office that day prior going to routine duty to find herself being pictured by whoever did this? Fairly her boss is the first person to be...
  6. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Asante Sana Kubota. Umefanaya kazi nzuri sana kufungua ubongo wangu. Naomba endelea kutoa Elimu hii ya mbinu/utaalamu wa kufuga kuku wa kienyaji kisha kazi kwngu.
  7. E

    Wataalamu wa teknolojia waichambua video ya Lwakatare, baadhi wadai ni halisi!

    Ok sawa hapa nchini hatujawa na uwezo wa kuchanganya halisi na kutengeneza isiyo halisi. Sawa, nakubali. Je, ikiwa kuna mtu yuko nyuma ya pazia si ana uwezo wa kutumia wataalamu toka nchi zenye uwezo wa kugoshi na kutengeneza picha feki ionekane halisi? Swala hapa ni nguvu ya pesa tu. Picha hiyo...
  8. E

    Wataalamu wa teknolojia waichambua video ya Lwakatare, baadhi wadai ni halisi!

    Ok sawa hapa nchini hatujawa na uwezo wa kuchanganya halisi ni kutengeneza isiyo halisi. Sawa, nakubali. Je, ikiwa kuna mtu yuko nyuma ya pazia si ana uwezo wa kutumia wataalamu toka nchi zenye uwezo wa kugoshi na kutengeneza picha feki ionekane halisi. Swala hapa ni nguvu ya pesa tu. Picha hiyo...
  9. E

    Wassira ndani ya Dk 45 ITV: Aongelea Udini, utekaji waandishi n.k

    Nakumbuka wakati fulani Wasira aliihama CCM akaingia chama cha upinzani ili akagombee ubunge kule kwao, aliposhindwa alirudi CCM. Alikuwa anatafuta nini kama sio ulaji. Sasa yuko kwenewe tumtegemee asemeje, kama sio kuitetea CCM na serikali yake? Big up baba.
  10. E

    Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

    Hoja ni nzuri katika kipindi hiki cha uwazi, na ikiwa tu ina ukweli usiopendelea upande mmoja. Muhimu sana na kusikia kutoka kwa mwenyewe pasipo kusemewa. From the horse mouth(Deus himself) with evidence.
  11. E

    Niende wapi na four ya 27??

    Nakushauri tafuta chuo cha utabibu/medical assistant, hata kama utafanikiwa kupata Laboratory technician omba, na ukipata jitahidi kujiendeleza kwa kusoma kwa juhudi na kwa malengo, n nakuahidi kwa c hizo utakuwa daktari mzuri tu. Labda kama hiyo sio taste yako. Otherwise I feel u r good in that.
  12. E

    Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    Nawapa pole sana ndugu, jamaa, marafiki na kikosi kizima cha usalama barabarani pamoja na jeshi la polisi. Mungu awafairiji wote waliofikwa na msiba huo wa ghafla. Kilichopangwa kwa namna yoyote hakikwepeki. Nawasihi waendesha vyombo vya moto na wadau wengine wote wawe waangalifu wakati wote...
  13. E

    Picha ya leo - Waliopitia JKT enzi hizo itawakumbusha makubwa

    Hakika umekumbusha jambo la msing sana, kwani sasa nakumbuka Makutupora na Edmund Mjengwa CO. MPs waliniamsha saa nane usiku na kuanza kunipigisha kuchanuwa kama ndege huku nakimbizwa Quorter Guard na kusulibiwa hadi asubuhi kwa kosa dogo tu. Lakini pia zoezi la kupali mraba wa mizabibu ukifika...
Back
Top Bottom