Duh aisee pia nimesikia huyu mzee hiv punde, kwa kifupi dovutwa anapelekeshwa na njaa tu km umemsikia anadai pia chama chao kipewe ruzuku, halafu ajajibu hoja alizoulizwa, japo mtangazaji pia yuko sharo maana alipaswa kumbana aweze kujibu ni aidha kakimbia swali au hajui kabisa kinachoendelea...