kaspesky and window7

Eliah

Member
Jun 8, 2009
32
0
JF guyz naomba mnisaidie nimeinstall kaspesky trial version sasa inaniambia imebakiza siku sita kuexpire nisaidieni jinsi ya kuingezea siku nipeni ujanja pliz!!

pia window 7 inasema is not genuine nawezaje kuchakachua?
 
Tafuta mtu mwenye CD ya kaspersky ambayo tayari kashaintall na either ni user mmoja au watatu inaweza kuwa ni 2011 au 2012 copy setup then install muombe key alizotumia insatall na updates kama kawaida utapata muda wakutosha mpaka mwaka mmoja.
 
Ila user mmoja ni bei rahisi tu 20000Tsh waweza kununa kwa uhakika zaidi na ukinzi wa PC yako
 
Back
Top Bottom