Recent content by Eli24

  1. Eli24

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession : Public health Education: HSM, Msc-HSM, MPH & MPH- Disaster Experience: 12 years Looking for consultations opportunities- Public health, sexual reproductive health , gender & digital health, research and data analysis
  2. Eli24

    JamiiForums Tanzania Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

    Hapo unazungumzia mapungufu ya waumini sio msimamo wa Kanisa. Kila dhehebu inapitia changamoto nyingi sana kwenye hii dunia. Mfano muumini anapo Amua kufanya jambo baya la kuibisha Kanisa lake haimaanishi kuwa dini yake imekubaliana naye au imebadirisha misingi yake. Mfano mzuri Diamond platnumz...
  3. Eli24

    JamiiForums Tanzania Faida za kufanya kazi Ubalozi?

    Shukran Mkuu.
  4. Eli24

    JamiiForums Tanzania Faida za kufanya kazi Ubalozi?

    Habari za Asubuh wanaJF? Ngoja niende moja kwa moja kwenye topic yangu ya leo. Sisi majob seeker leo tumekutana hapa posta mpya tukawa tunapiga story za hapaa na pale kuhusu ajira za ubalozini. Niko mbele yenu kuuliza hivi kunafaida kubwa sana kufanya kazi kwenye ubalozi kuliko kwenye...
  5. Eli24

    JamiiForums Tanzania Security interview - US Embassy

    Hyo ya finger print tayari ameshafanya tena ameenda kule morning police hq kinachobaki ndo hyo security interview tu Mkuu. Ndo nataka kufahamu ni interview ya namna gan
  6. Eli24

    JamiiForums Tanzania Security interview - US Embassy

    Habari za Jioni wana JF, Moja Kwa moja Naomba niende kwenye mada yangu napenda kufahamu kitu flani hvi- Kuna jamaa angu aliomba kazi US- Embassy hapa DSM na akafanya usaili wa kingereza akapita, akafanya usahili wa kazi yenyewe nayo ameonekana kupita maana ameshakabidhiwa conditional offer...
  7. Eli24

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata Scholarship za Masomo Kwa vijana wa Kitanzania

    Ngoja nkuchekie link nkutumie hapa aisee
  8. Eli24

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio muvi 9 nilizozikubali mwaka huu 2022

    Hiv watu wazma mnapata wap nguvu za kuangalia vikatuni vikatuni hvyo. Movies hapo za kiume ni The Grey Man, Uncharted, na Day Shift.
  9. Eli24

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata Scholarship za Masomo Kwa vijana wa Kitanzania

    Shukran Mkuu. Roger that
  10. Eli24

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata Scholarship za Masomo Kwa vijana wa Kitanzania

    Nashukuru Kiongoz. Ngoja tupambae. Hakikisha unatupatiaaa hzo link pia Za job Mkuu
  11. Eli24

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata Scholarship za Masomo Kwa vijana wa Kitanzania

    Huu uzi nauendeleza Mkuu. Usijal boss
  12. Eli24

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata Scholarship za Masomo Kwa vijana wa Kitanzania

    Habari Ndugu zangu wa JF, Leo natamani sana tushare changamoto Za kupata scholarship Kwa vijana wa Kitanzania. Mim nmekuwa muhanga Kwa muda mrefu wa kutafuta scholarship ili niweze kusoma katika nchi Za Bara la Ulaya na Marekani. Naweza kusema ni Kwel Ndoto yangu imetimiaaa ila nmepata msoto...
  13. Eli24

    JamiiForums Tanzania Watanzania waishio Rio de Janeiro

    Shukran Mkuu.
  14. Eli24

    JamiiForums Tanzania Watanzania waishio Rio de Janeiro

    Mwana jiji liko poa kabsa. Toto Za kumwaga aisee. Beach Za kutosha, people are so friendly though sio wengi wanaongea kingereza ila hakishindikan kitu. Karibu sana Rio de Janeiro.
  15. Eli24

    JamiiForums Tanzania Watanzania waishio Rio de Janeiro

    Habari za Jioni ndugu zangu FB Ngoja niende moja Kwa moja kwenye point, wiki iliyopitaa nimeweza pata kufka kwenye Jiji maarufu huku Latin America la Rio de Janeiro. Niko kikaz kidogo ila nitataman kukutana na watanzania waishio katika jiji hili tupge story mbili tatu na kufahamiana zaidi...
Back
Top Bottom