Hizi ndio muvi 9 nilizozikubali mwaka huu 2022

Hizi ndio muvi 9 nilizozikubali mwaka huu 2022

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,680
Reaction score
15,706
Jamani leo nimeona sio mbaya nikishare muvi kali ambazo mimi nimezikubali mwaka huu2022. Muvi zenyewe ni hizo hapo
1. Minions Rise of Gru (2022)
71NoVb6lTgL._SY679_.jpg

2. The Bad Guys
the-bad-guys-share-image-v2.jpg

3. Uncharted
MV5BMWEwNjhkYzYtNjgzYy00YTY2LThjYWYtYzViMGJkZTI4Y2MyXkEyXkFqcGdeQXVyNTM0OTY1OQ%40%40._V1_.jpg

4. Sonic the Hedgehog 2
onesheet.jpg

5. The Grayman
MV5BOWY4MmFiY2QtMzE1YS00NTg1LWIwOTQtYTI4ZGUzNWIxNTVmXkEyXkFqcGdeQXVyODk4OTc3MTY%40._V1_FMjpg_U...jpg

6. Turning Red
p_turningred_22797_1_c17f32af.jpg

7. Day Shift
MV5BYWI2ZDRjYjEtOWJiOS00NWVjLWI1MjAtNWNiMzAwNGFmNjljXkEyXkFqcGdeQXVyODEwMTc2ODQ%40._V1_FMjpg_U...jpg

8.Jurassic World Dominion
MV5BOTBjMjA4NmYtN2RjMi00YWZlLTliYTktOTIwMmNkYjYxYmE1XkEyXkFqcGdeQXVyODE5NzE3OTE%40._V1_FMjpg_U...jpg

9. Light Year
MV5BZTgzNDk3MTgtYTIzZi00NmYyLThjYzQtOWU3NTJiYzUxZTc0XkEyXkFqcGdeQXVyMTMzODk3NDU0._V1_.jpg

10. Luck
luck-movie.jpg

Ndio hizo hapo wakuu.... Kama kuna muvi nyingine umeikubali naomba uipost... maana nina hamu ya kujua wenzangu wanaanalia muvi zipi..
Asanteni sana
 
Wanakuzoesha taratibu utajikuta unaona kawaida.

We uliwahi kuona wapi animationa ina mambo ya ushoga kama sio kutaka kuteka watu psychologically!

Mi nikisikia hata tetesi kuna hizo elements huwa siangalii kabisa hiyo movie.
Nimekuelewa ila mimi hawawezi kuniteka kisaikolojia, ninajielewa.
Ishu unachoshindwa kuelewa ni kwamba main point ya hii muvi sio ushoga.
Nadhani umesikia au umeona jinsi series ya SQUID GAME ilivyotrend japokuwa ilikuwa na ushoga ndani yake.. Ushoga unakera ila series ilikuwa na mambo mengine ambayo ni mazuri zaidi, ila huwezi sema watu waliipenda kisa ushoga wake... Sijui unaelewa mkuu[emoji848][emoji848]
 
Huyu hatunaye tena, mwanaume kushapungua hapa. Reuben Challe anapumuliwa.

Uwe rijali halafu usifie ushoga?? Haiwezekani, wewe ni punga tu
Wapi amesifia Ushoga kama sio wewe ndie Shoga,
Kwa hiyo aache kuangalia vitu vizuri kisa kuna scenes za ushoga lakini Scenes za kuchinjana na kutoana ngeu kwako ndio urijali,

Pambana na Ushoga wako usilazimishe kila Mtu awe kama wewe
 
Hiv watu wazma mnapata wap nguvu za kuangalia vikatuni vikatuni hvyo. Movies hapo za kiume ni The Grey Man, Uncharted, na Day Shift.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamna ni movies tu mkuu ukizifatilia zina make sense some times
 
Nimekuelewa ila mimi hawawezi kuniteka kisaikolojia, ninajielewa.
Ishu unachoshindwa kuelewa ni kwamba main point ya hii muvi sio ushoga.
Nadhani umesikia au umeona jinsi series ya SQUID GAME ilivyotrend japokuwa ilikuwa na ushoga ndani yake.. Ushoga unakera ila series ilikuwa na mambo mengine ambayo ni mazuri zaidi, ila huwezi sema watu waliipenda kisa ushoga wake... Sijui unaelewa mkuu[emoji848][emoji848]
Squid Game kulikua na Ushoga wapi???
[emoji848]
 
Jamani leo nimeona sio mbaya nikishare muvi kali ambazo mimi nimezikubali mwaka huu2022. Muvi zenyewe ni hizo hapo
1. Minions Rise of Gru (2022)
View attachment 2325422
2. The Bad Guys
View attachment 2325427
3. Uncharted
View attachment 2325428
4. Sonic the Hedgehog 2
View attachment 2325429
5. The Grayman
View attachment 2325430
6. Turning Red
View attachment 2325431
7. Day Shift
View attachment 2325433
8.Jurassic World Dominion
View attachment 2325436
9. Light Year
View attachment 2325443
10. Luck
View attachment 2325446
Ndio hizo hapo wakuu.... Kama kuna muvi nyingine umeikubali naomba uipost... maana nina hamu ya kujua wenzangu wanaanalia muvi zipi..
Asanteni sana
Grey man ni master piece. Captain America kaua sana hunu
 
Squid Game kulikua na Ushoga wapi???
[emoji848]
Nimesahau ni episode ya ngapi.. ila humo kuna jamaa alimwambia mwenzake "If you satisfy me for five minutes i will change your life" huku akimwomba amnyonye mashine yake ili amsaidie kutoka nje ya game salama.. na wote walikuwa ni wanaume
 
Nimesahau ni episode ya ngapi.. ila humo kuna jamaa alimwambia mwenzake "If you satisfy me for five minutes i will change your life" huku akimwomba amnyonye uume wake ili amsaidie kutoka nje ya game salama.. na wote walikuwa ni wanaume

Yeah.. Lile libosi lilitaka mpigisha mwana BJ.. gay shit.
 
Nimesahau ni episode ya ngapi.. ila humo kuna jamaa alimwambia mwenzake "If you satisfy me for five minutes i will change your life" huku akimwomba amnyonye uume wake ili amsaidie kutoka nje ya game salama.. na wote walikuwa ni wanaume
Ndio uhalisia uliopo kwenye jamii zetu,
Watu hawaitani ms*ng*?? mara h*nith*, na mengine mazito, hamkusoma Kazi ya Fasihi mlipokua Shuleni?
 
Mimi nimeangalia movi juzi ya Bomas Kenya kulikuwa na abla kadabra za kutosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom