Faida za kufanya kazi Ubalozi?

Faida za kufanya kazi Ubalozi?

Eli24

Senior Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
165
Reaction score
365
Habari za Asubuh wanaJF?

Ngoja niende moja kwa moja kwenye topic yangu ya leo.

Sisi majob seeker leo tumekutana hapa posta mpya tukawa tunapiga story za hapaa na pale kuhusu ajira za ubalozini.

Niko mbele yenu kuuliza hivi kunafaida kubwa sana kufanya kazi kwenye ubalozi kuliko kwenye international organization kama WHO na Mengine mengi.

Nasikia ukifanya kazi ubalozini kama vile ubalozi wa Marekani haukatwi kodi ya serikal, Je na hili nalo ni kwel ?

Hebu tujuzanee ndugu zangu kama kunafaida yoyote nzuri ambayo mtu anaweza kuipata akifanyia kazi unabalozini.

Kuuliza sio ujinga.
 
Faida mojawapo ni kujuana na watu wa mataifa mbalimbali,kama una watoto kusoma nje ya nchi hizo,hata wewe mwenyewe kuwa mjuaji wa mambo mengi pia,nk.
 
Kufanya kazi ubalozini kunakupa fursa ya kujuana na wadau mbalimbali wakiwemo wa sekta binafsi, UN, vyama vya siasa, viongozi wa kubwa wa serikali etc. Mazingira ya kazi ni mazuri sana hasa hizi balozi za Ulaya. Ni rahisi kupata kazi ubalozi mwingine au hata nje ya hapo sasabu ya connection na watu wengi. Balozi nyingi zinakata wafanyakazi kodi isipokuwa chache sana ,na hizo chche wako mbioni kuwakata wafanyakazi kodi. Ni kosa kisheria kukwepa kodi, ambao hawakatwi kodi wanatakiwa kuziwasilisha wenyewe TRA. UN na UN Agency nyingi wanapata ruzuku kutoka balozi mbalimbali. Balozi hasa za ulaya, Marekani, Canada etc zina hela nyingi kuliko UN.
 
Shukran Mkuu.
 
Back
Top Bottom