Recent content by eleuter

  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada Uhamiaji!

    Acha izo wew mi nipo wizara moja na uhamiaji mshahara wote coplo na constable ni chini ya laki 600000 nipm nikwambie mishahara halis kama unataka inatofautiana kidogo sanaaa
  2. E

    JamiiForums Tanzania Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

    Wew kama ulidisco udsm sikuelewe huna jipya hata huko utadisco tu hata ukiongezewa maksi! None sense indid
  3. E

    JamiiForums Tanzania Soma hapa inaweza kukusaidia kuondoka na kitu kichwani mwako

    Mungu ni mwema atamsaidia. Amen
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wetu hadi leo wanatofautiana katika kulipwa posho ya chakula(resheni)?

    Yaan huna hoja wala point! Huna hata chembe ya aidia ya jeshi! No point no write to speak!..:confused:
  5. E

    JamiiForums Tanzania Trafiki polisi wa kike Linda Okelo sasa apewa onyo la mwisho kuvaa sketi fupi

    Jaman so mtanzania huyo mtoa taarifa w nchi nchi gan huyo
  6. E

    JamiiForums Tanzania Traffic Na Rushwa Sinza Mapambano

    Mbona unatudanganya wew ulizia waliojaribu kujifanya wanapiga picha wakaonwa walichofanywa,,, uongo mtupu! Yaan trafic aogope picha! Jaribu siku moja! Utakuja kuandika humu ndan kitachokukuta!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 36, niko ndani ya ndoa mwaka wa 9, nina watoto 2- sijatahiliwa.

    Acha mazoea ndugu! Nan kakwambia hayo makabila hawafanyi tohara! Historia na tamadun hubadilika mshauri ndugu yetu ndagafijo kwa busara bila kutoa mifano ambayo haina uhalisia!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Dokta please usicheke!

    Hako noma kanapekecha kama bisibis ooooh
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hii pozi imekaaje jamani?

    Acha kupoteza muda
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mafuriko na mjeshi wa Somalia!

    Hiyo siyo AK47 ni G3
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mafuriko na mjeshi wa Somalia!

    Hiyo siyo AK47 inaitwa G3
  12. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu houseboy simuelewi jamani

    Wew mwenyewe unamnyanyapaa huyo houseboy wenu! Unajiona wa mjin halafu mataw ya juu! "Hana hadhi" Sidhan kama mtaendelea kumkarimu huyo jamaa had hurum! But story imekaa kikusadikika vile!
  13. E

    JamiiForums Tanzania Wizi wafanyao polisi kituoni, wapi kwa kulalamika?

    Achen majungu kwa jeshi letu yasiyokuwa na uthibitisho!
  14. E

    JamiiForums Tanzania Vigezo hamna mnataka kazi mtasubiri sana umri nao ndio huo hausubiri

    Wew huna lolote! Nan aliyekupatia kaz wew! Et unawafanyia usahili! Wew kwa akili ip uliyonayo ... huna lolote+ hamnazo
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kashfa nyingine jeshi la polisi

    Yaaan raia mwema unashindwa kutueleza kwamba mpaka kapigwa alikosa nn mmekazana tu amepigwa! Mbona askar wanauliwa kwenye thread hamuandiki sadness! What hell! Polis nao ni watu kama wew amekuzid tu proffesional ya upolis tu,,,
Back
Top Bottom