Dokta please usicheke!

Dokta please usicheke!

nimecheka mpaka abiria wengine nao wameanza kucheka na dereva naye anacheka loh chezea Kibhopile weye
 
Mhhhh! Mbona wengine (wanaume) hawana kabisa hiyo kitu, si afadhali yeye anako hako kadogoo!:target:
 
jamaa ana tatizo kaingia kwa daktari ikawa kama ifuatavyo,,

jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,
daktari : Hebu vua nguo tuone,
jamaa: Sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.
daktari : Usijari mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa.

Jamaa akavua suruali kuonesha dushelele yake. Basi dokta kuona ustaarabu ukamshinda akaanza kucheka na akacheka kama dk 3 hadi machozi yakamtoka. Kwani dushelele ya jamaa ni kadogo kama betri ya aaa (betri za remote ya king'amuzi).daktari alipomaliza kucheka mazungumzo yakaendelea,,

daktari : Enhee tatizo ni nini???
jamaa: Imevimbaa toka juzi,

daktari akazimia pale pale,,,,,,

nawatakia lunch njemaa,,,,

nakushukuru kwa kunipunguzi mawazo na kuniongezea afya njema.
 
Mhhhh! Mbona wengine (wanaume) hawana kabisa hiyo kitu, si afadhali yeye anako hako kadogoo!:target:
Ha ha ha ha, kama huna inabidi uwe na hela nyingi sana lasivyo unaweza ukabadilshwa jinsia kinguvu,,tehetehe
 
jamaa ana tatizo kaingia kwa daktari ikawa kama ifuatavyo,,

jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,
daktari : Hebu vua nguo tuone,
jamaa: Sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.
daktari : Usijari mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa.

Jamaa akavua suruali kuonesha dushelele yake. Basi dokta kuona ustaarabu ukamshinda akaanza kucheka na akacheka kama dk 3 hadi machozi yakamtoka. Kwani dushelele ya jamaa ni kadogo kama betri ya aaa (betri za remote ya king'amuzi).daktari alipomaliza kucheka mazungumzo yakaendelea,,

daktari : Enhee tatizo ni nini???
jamaa: Imevimbaa toka juzi,

daktari akazimia pale pale,,,,,,

nawatakia lunch njemaa,,,,
hahah hahah hahah hahh uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu wajameni hubhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu lol lol lol lol
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiii nimecheka sanaa sijui kama kinaweza kufanya mavituzii ipasavyo!!!
 
Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,,

Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,
Daktari : Hebu vua nguo tuone,
Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.
Daktari : usijari mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa.

jamaa akavua suruali kuonesha dushelele yake. basi dokta kuona ustaarabu ukamshinda akaanza kucheka na akacheka kama dk 3 hadi machozi yakamtoka. kwani dushelele ya jamaa ni kadogo kama betri Ya AAA (betri za remote ya king'amuzi).Daktari alipomaliza kucheka mazungumzo yakaendelea,,

Daktari : enhee Tatizo ni nini???
Jamaa: IMEVIMBAA toka juzi,

Daktari Akazimia pale pale,,,,,,

NAWATAKIA LUNCH NJEMAA,,,,[/QUOTE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom