Recent content by electrical

  1. E

    JamiiForums Tanzania CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Ww nae kiaz, sheria inasema kama hiyo kaz tz hamna wataalam wakuifanya ndio mtu kutoka nchi za nje anaweza pewa kibali afanye. Amkeni usingizini Tz kwanza
  2. E

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Rais Magufuli huu hapa

    Umetisha mkuu
  3. E

    JamiiForums Tanzania How to make natural viagra using only 2 ingredients

    Hiv kwel viagra dukan zinanunuliwa dana?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Diamond aelemewa gharama za kumtunza Zari, lolote kutokea muda wowote

    Nyimbo lenyewe baya...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Cc firebridge..mbona umepotea tena?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazin...MAGENTA TUTORING CENTER

    Wadau, wale mkiofanya imterview magenta tutoring center Masaki washaanza kuita? Tujuzane updates
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mbegu za maboga: Zina uwezo wa kukuepusha na magonjwa 10 hatari

    Sasa wewe mk kilichokusaidia ni mkonge au maboga? Manake kuna post ingne unasifia mkonge uku
  8. E

    JamiiForums Tanzania Duka la jumla

    Asante mkuu
  9. E

    JamiiForums Tanzania Duka la jumla

    Wakuu 3 mil naweza anzisha duka la jumla maeneo ya mbagala charambe? Msaada plz kwa wazoefu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Makabidhiano ya boda boda

    Wadau mbona hawaj??
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Makabidhiano ya boda boda

    Wazoefu, naomba mnisaidia jinsi ya kumkabidh mtu boda yako. Kuhusu mashahd, na namna ya kuhakksha boda yako inakua salam na huingii hasara endapo jamaa atapotea nayo
  12. E

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tundu Lissu: Edward Lowassa ndiye mgombea urais wa CHADEMA na UKAWA

    Ww unajielewa mkuu
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimuoe au vipi?

    Sometimes nafikir labda naweza kujifunza kumpenda kama alivyo kadri ntakavyoish naye....
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimuoe au vipi?

    Toa ushaur, mtu akileta jambo hapa anataka elim imsaidie kufanya maamuz sio kama inavyofanya ww
Back
Top Bottom