Ushauri: Nimuoe au vipi?

Ushauri: Nimuoe au vipi?

Jamani mbona mnamshambulia mleta mada, au ninyi wote ni weusi? Kila mtu ana preference zake, na hata kama ni kitu kidogo baade huwa kina imoact sana. Na ukiona hadi kaomba ushauri ujue tayari ni tatizo. Maana akilazimisha wakati yupo half way hiyo ndoa haitodumu. Ingekua kujichumbua hakuna madhara ningekushauri afanye hivyo, maana wengine wakiona nguo fulani ndio huwavutia basi huwanunulia wenzi wao ili kuzidi kuwapenda. Lakini ngozi sio nguo
 
Sometimes nafikir labda naweza kujifunza kumpenda kama alivyo kadri ntakavyoish naye....
mwanaume hana nafasi ya kujifunza kupenda wapo wachache sana sina uhakika kama ni among them.... wanawake ndiyo huwa tunanafasi hiyo na ni wepesi kujifunza kupenda... ushauri as long as umeshaona kasoro mwache asepe
 
Napenda sana tabia zake ila tatzo ni mweusi na mm napenda wanawake weupe
Moyo hautak kumuacha, nafsi inasita kumuoa nahsi ntakua nataman sana weupe, nipo njia panda coz ni wife material sana.
Nishurin jaman nimuoe hata kama nafsi ipo nusu nusu kwake???

shenzi type ulivomuona mara ya kwanza halmashauri yako ya kichwa chako ilikuwa wap? Kila binadamu ana vigezo moyon vya mtu anaemtaka at first moment ukimwona tu lazima useme yes.

Sasa wew mjinga ukamwona dada wa watu anafaa leo rangi yake? Ebu acha kupotezea watu bahati kuna wanaume million leo hii wanalilia ngozi nyeus zimekosa? Caro light ishafanya yake akivua sehemu zake za siri nyeusi mangala.

Subiri mzee wa kazi aingie madarakani uone kama caro light itaonekana tena tz.

Banangee twalelii obusiru.
 
Chagua kipi kina nguvu kat ya rangi na tabia...
Halafu unaeza kumbuka lengo la kumtokea mara ya kwanz lilikua ni nin..hukujua mara ya kwanza km hupend mweus???....au ndo amebadilika rangi siku hizi???
 
Mimi nilipotaka kuoa niliweka vigezo vyangu kimojawapo ni awe mweusi, nilipenda sana wanawake weusi. Lakini akili ilipopevuka sikuangalia tena vile vigezo, cha msingi nilichowaza ni TABIA. Nikapata unaosema mweupe, mfupi, mnene kiasi na ni mtu wa mkoa ambao sikutaka kuoa mwanzoni. Hadi leo sijajutia na maisha yako poa sana. Ukihitaji kuoa akili itakaa sawa. Tabia ni kigezo cha msingi.
 
Leo umenikumbusha wimbo wa cheusi mangala.
Cheusi mangala....x 2

Huu wimbo una mashairi safi sana- I dedicate it to all JF Ladies

Chorus
Cheusi Mangala usibadili mwendo huo Mangala eehe Mangala eehe Binti Afrika

Verse
Kila kwenye chombo baharini kuna nahodha, nahodha wangu ni wewe mawimbi kuyakata chombo kisiende mrama tupate fika salama

Rudia chorus

Verse
Ninajisikia ninaposikia heshima na upole wako kwa watu wa pembeni usije kata tamaa tukose wakututetea

pia pitia hii thread: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/77480-mashairi-wimbo-cheusi-mangala.html

Asanteee😊😊😊😊
 
Wakati wenzako tunawaza tutawapataje wanawake wenye tabia nzuri, ww umempata unazingua aaaah mkuu mchukue bhna
 
MAKUBWA.. wewe apo ulipo ni mweupe? au mangala kuliko hata yeye.. some people bwana.
 
Napenda sana tabia zake ila tatzo ni mweusi na mm napenda wanawake weupe
Moyo hautak kumuacha, nafsi inasita kumuoa nahsi ntakua nataman sana weupe, nipo njia panda coz ni wife material sana.
Nishurin jaman nimuoe hata kama nafsi ipo nusu nusu kwake???

Aliwazalo mjinga ndio linalomtokea.....
Kama unataka kuoa kwa ajili ya fashion then tafuta cheupe dawa....ila kama unahitaji mwenza wa kuishi naye then Fanya lililo sahihi
 
Oa mke moyo wako unaotaka omba Mungu akupe mke mwema ila je hukumuona kama ni mweusi?
 
Back
Top Bottom