Recent content by EL+RA=UFISADI

  1. E

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Hali ni mbaya kaka, rushwa imepenya kila mahali. Watu wanajisalimisha kwa mafisadi baada ya kuona upepo unaonesha nguvu yao ya pesa ni kubwa kuliko mfano.
  2. E

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Kwa mtu yoyote makini, ukisoma magazeti ya Tanzania unaona kabisa yako upande gani. Uweledi kwenye uandishi wa habari Tanzania na kufanya kazi bila woga wala upendeleo hakuna kutokana na njaa kali ya waandishi wa habari na wengi wao kutokwenda shule. Ndiyo maana magazeti haya mengi yalitumika...
  3. E

    Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Wallahi vile, hakuna cha Great Thinkers au lolote. Wengine humu wana tabia ya kupenda kukaririshwa maneneno halafu wao kazi yao ni kuyaimba tuuu kama majuha. Ukiliangalia neno "mnafiki", ukaangalia na vitendo vya Samuel Sitta ni vitu viwili tofauti! Tena wanaotumia neno hili eti kujaribu...
  4. E

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    Mhariri Mkuu wa gazeti lililoandika habari hii (Tanzania Daima), Absalom Kibanda, yuko kwenye payroll ya Edward Lowassa. Hili jambo linafahamika sana. Hata mmiliki wa Tanzania Daima, Freeman Mbowe wa CHADEMA, anajua hili lakini hachukui hatua yoyote kwa kuwa Mbowe na Lowassa ni marafiki. Kama...
  5. E

    Ansbert Ngurumo anauliza: Maamuzi magumu? Mbona tuko gizani?

    Mhariri Mkuu wa Tanzania Daima, Absalom Kibanda, yuko kwenye payroll ya Edward Lowassa. Hili jambo linafahamika sana. Hata mmiliki wa Tanzania Daima, Freeman Mbowe wa CHADEMA, anajua hili lakini hachukui hatua yoyote kwa kuwa Mbowe na Lowassa ni marafiki. Kama mnabisha, jiulizeni ni lini Mbowe...
  6. E

    Rostam Aziz aandaa timu ya watetezi wa Dowans

    Nimepata taarifa leo kutoka kwa mtu aliye karibu na Rostam Aziz kuwa fisadi huyu aliyechonga dili zima la Richmond/Dowans sasa ameandaa timu ya viongozi mbali mbali wenye ushawishi kwenye jamii ambao wataibuka kwenye vyombo vya habari kuishinikiza serikali iwalipe Dowans. Atatumia vyombo hivi...
  7. E

    USHAURI: Mengi amuajiri Tido Mhando kama MD wa ITV/Radio One

    Serikali imeamua kumtoa Tido Mhando kama director-general wa Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) kama adhabu kwake kutokana na kuruhusu midahalo ya wagombea Ubunge na Urais wa vyama vya upinzani iendelee TBC baada ya CCM kujitoa yenyewe. Eti kina Makamba wa CCM wanamlaumu Tido kuwa alitoa...
  8. E

    Mhariri aliyesema DR. SLAA WILL NEVER BE A PRESIDENT yuko katika msukosuko!

    Sawa mama Marigwe, endelea kuimba ngonjera
  9. E

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Tujikumbushe maneno haya ya waziri mmoja wa serikali na tutofautishe ushabiki na KUTETEA maslahi ya taifa na kupinga uovu.
  10. E

    Maandamano CUF hakuna aliyejeruhiwa!!!!!!!!!!!!!! Ni mchezo wa kuigiza

    Haya maandamano ya CUF yamepangwa na Rostam Aziz. Lengo ni kuwafanya wana JF na Watanzania wengine watumie muda mwingi kujadili maandamano na katiba mpya ili wasahao hoja ya haraka na kubwa iliyo mbele yetu -- KUPINGA malipo ya kifisadi ya 185.5 bilioni/- kwa DOWANS. Tayari wanasiasa maarufu wa...
  11. E

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Salaam, Nilisema hapa kuwa kuna "Dowans conspiracy". Viongozi wakuu wa serikali (JK, PM, AG and others) pamoja na viongozi wa upinzani, Zitto Kabwe and others wamewekwa sawa kutetea ufisadi huu mkubwa wa kutaka serikali iilipe kampuni ya kitapeli ya Dowans 185.5 bilioni/- kutoka kwenye pesa za...
  12. E

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Wengi tumeona hapo Zitto katoa a vague statement. Ni kama vile anakwepa/anaogopa kuueleza umma wa Tanzania msimamo wake ni nini haswa kwenye jambo hili. He should stop mincing his words aseme hadharani nini maoni yake kama kiongozi kuhusu mpango wa serikali kuilipa kampuni ya kitapeli ya...
  13. E

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Zitto anasikitisha sana. Ukimsoma kwa makini eti anataka kusema kuwa wakati Bunge ilisema mkataba wa Richmond/Dowans ni null and void hivyo uvunjwe, ICC imetoa ruling kuwa mkataba ule ulikuwa ni valid. He is beating around the bush, anaona haya kujitokeza tena mbele ya Watanzania kutetea mradi...
  14. E

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Kwenye facebook status yake mpya, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe, ametoa matamshi mapya kuhusu Richmond/Dowans. Ninanukuu: "on Dowans, Tanzanians must know first, what does ICC say about the legality of the Richmond/Dowans Contract. Bunge said the contract was void ab initio and...
Back
Top Bottom