Recent content by EL ELYON

  1. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Wakuu active subwoofer yenye sifa hzi ina Mzki mzto kweli na inayazidi ma subwoofer ya mchina kama seapiano 🤔
  2. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Kesi ya lissu imetrend vilivyo angalia ufatiliaji online huko labda kama unazungumzia bunge kibudu linaloendelea huko
  3. EL ELYON

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Kwani kufanya kazi na kuchakarika ni nn
  4. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bishop Gwajima atangaza Maombi ya siku 7 kuwaombea Lissu, Kitima, Mdude, Soka , kuomba Mungu ashughulike na Watekaji ili utekaji Ukome

    Jamaa mbona umekomaa sn kujibujibu humu kama ww huamini si ukae kushoto au ndo mtekaji mwenyewe
  5. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

    Hamna kitu hapo lengo ni kufifisha mambo ya chadema na lissu
  6. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA kimepata umaarufu ghafla

    Eti nyie ndo ccm inawategemea kuitetea mitandaoni aaaahahahaaaaaa
  7. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geofrey Kiliba wa Mama Asemewe: Vyama vinapaswa kufikisha sera zao kwa kutumia lugha nzuri, sio kiongozi kila mda anafoka

    Eti hawa ndo vijana wasomi wa ccm seriously kbs halafu utegemee hawa ndo washindane na vijana wa chadema kweli... Ndo maana sishangai chadema kuwa na mawakili wa moto sn na viongozi wajenga hoja nzito kuliko huko ccm na serikali yake
  8. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Hii hapa ni Picha kabambe ya Wiki, Imepatikana Sengerema

    Bora wanaoomba wakapewa kuliko majizi ya tozo, kodi na mikopo toka nje ya nchi wakati maji tu yamewashinda tena kwenye mikoa iliyo na ziwa hakuna zaidi ya miaka 60 ya uhuru
  9. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama cha kumnyonya mwananchi

    Tarehe 22 Dec 2014 PESA ZA ESCROW SI ZA UMMA,ASEMA RAISI KIKWETE 👉 haya majizi huyaoni
  10. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Kama ukifanikiwa kupata fursa ya kukutana na rais Samia kuhusiana na kadhia ya Tundu Lissu, unaweza kumshauri nini?

    Aache kutumia dola kunyanyasa wapinzan wake. Tume huru tuone naye aone kama kweli maccm yanapendwa na watz.
  11. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

    Kumbe china ana siraha bora hivyo bt ameshndwa kukanyaga taiwan, cha ajabu china anaiba tech ya mrusi ya ndege vita na anatumia injini za ndege vita za urusi. Ajabu china na urusi huwa inawachukua miaka mingi sn kujbu au kutengeneza ndege vita inayokuwa imetengenezwa na marekani sasa kataa hili...
  12. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana na kamdomo ishi nao kiakili, hakuna rafiki utaemwambia habari za mafanikio yako makubwa kumzidi atafurahia

    People attack what they know...be silence for your next move.
  13. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ilo kimkakati ili muda uzidi kupotea na uchaguzi uzidi kukaribia!

    Uko sawa kbs hasa hcho chama cha zitto wanatafuta kuwa na nguvu kwa kupewa zawadi ya wabunge na maccm badala kuitafuta nguvu hiyo kwa wananchi.
  14. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Airtel Africa teams up with SpaceX to expand Starlink internet in underserved regions

    Tatzo ni maccm huyu ndiye adui mkuu azalishaye ujinga, maradhi na umaskini haya ndo mtaji wake.
Back
Top Bottom