Recent content by einstein newton

  1. einstein newton

    Wito wa mpito kwa DPP: Wakili aliyemwandaa ACP Kingai aondolewe jopo la Mashtaka la akina Mbowe

    Hii misukule ina kera sana aisee.. Jitu moja kila uzi lina comment,hii ID yake ya tatu, yamejaa humu ku comment use........ Daah
  2. einstein newton

    Wito wa mpito kwa DPP: Wakili aliyemwandaa ACP Kingai aondolewe jopo la Mashtaka la akina Mbowe

    We boya kila uzi nakuona na matapishi yako, mnalipwa bei gani huko lumumba, nitumie namba yako niwe nakuchangia hata buku 10 kwa siku masikini mkubwa wewe
  3. einstein newton

    Maisha yamekuwa magumu sana mtaani

    Kenge Wewe huoni kilichoandikwa?
  4. einstein newton

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    @pem, Chief kwanini usitumie Assets ulizonazo Kama dhamana ya kupata mkopo benki Kwa kiasi unachohitaji utakipata....
  5. einstein newton

    Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

    Hivi anavyosema Marubani walikua wanampigia simu wakiwa angani kweli?
  6. einstein newton

    Watanzania, ujumbe wenu kwa atawala umefika, lakini 'ili kenge asikie mpaka damu zimtoke masikioni'

    Vipi Mtukufu Raisi Aliyejenga viwanda 1000 kila Mwaka kashaonekana?
  7. einstein newton

    Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

    Kitu Cha kuchekesha zaidi kuhusu hii mijadala ni kwamba watu wa dini zote tena zinazokinzana huungana na kumshambulia Atheist kwa Hoja zilezile za kizamani zisizokua na Mashiko yoyote Wala facts Wanasahau kuwa hata wao wenyewe wanapingana Assume Sasa Atheist kaamua kukubali Sasa kuwa Mungu...
  8. einstein newton

    Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

    Siku hizi una hekima mkuu...
  9. einstein newton

    Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

    Safi sana...Sasa Wewe ni Free thinker
Back
Top Bottom