Recent content by egm0

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

    Mambo, niko hapa kwa ajili yako
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MREJESHO: Simuelewi mume wangu

    Aisee pole sana, jaribu pia kua unamshawishi mara kwa mara
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kujenga nyumba kwa kuhifadhi mahitaji kwanza

    Hii ni moja ya njia nzuri sana ya utekelezaji wa ujenzi hasa kwa mtu ambaye kipato chake sio kikubwa, na pia kama umepata kiasi cha fedha kwa mkupuo. Inasaidia sana , wengine huwa wants wanasema unajenga nyumba ikiwa chini, binafsi ilinisaidia sana njia hii. Ukishapata wazo la ramani ya nyumba...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mfanyakazi wa stationery

    Atume cv kwenye iyo namba
  5. E

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mfanyakazi wa stationery

    Nafasi ipo moja
  6. E

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mfanyakazi wa stationery

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, anahitajika mfanyakaz mwenye uzoefu na kazi za stationery ikiwemo matumizi ya Computer na graphics design ambae atakua tayari kufanya kazi ndani ya mkoa wa Dar es salaam. Women are highly encouraged to apply. Send you resume/cv to 0765600846 WhatsApp
  7. E

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Unanunua bei gani
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kujenga au kufungua biashara nyingine kipi nianze nacho?

    Biashara gani hiyo mkuu, hebu funguka
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa umwagiliaji ipi ni aina bora ya water pump?

    Honda mkuu, ukipata iyo safi
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    Gharama zako zikoje
  11. E

    JamiiForums Tanzania Wapi ntapata madirisha ya gril used milango ya chuma used

    Mkuu ukipata naomba unitag Sent using Jamii Forums mobile app
  12. E

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mkuu ukipata naomba unitag Sent using Jamii Forums mobile app
  13. E

    JamiiForums Tanzania Barua yangu ya kutaka kulipwa mafao ya mirathi imepokelewa Julai hapo PSSSF lakini mpaka leo Oktoba haijafika kwa Mhusika

    Pole sana Mkuu, kiukweli inaonekana kuna shida nfani ya psssf hasa kwenye swala zima la ku handle documents na kuzifanyia kazi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri: Mdogo wetu wa kuasili anataka mali zote zilizoachwa na wazazi kwa kisingizio cha kuwa mtoto pekee wa kiume

    Duuh poleni,...inabidi wote mfanye DNA tests kabla ya mchakato wa kufungua mirathi
  15. E

    JamiiForums Tanzania Tecno Camon 11

    Bei Tsh. 250,000/= Contact 0659734925 Dar es salaam
Back
Top Bottom