Recent content by egkyne

  1. egkyne

    Wazazi: Hili swala la kuwaremba watoto wadogo mnalichukuliaje?

    Ukweli ni kwamba hii hali ya kumzoeza hivi vitu hujenga mazoea,maisha haya ya kuiga hayafai sababu maisha yanapanda na kushuka itafikia kipindi huna na binti ndo kakua na anahitaji huo urembo je,unadhani akitokea mtu wa kumpendezesha (fataki) atakataaa? Wazazi tuepuke njia mbovu za kumjengea...
  2. egkyne

    Wanasheria wetu naomba kujua kazi zenu kwa jamii

    Kwann? labda kuna sababu muhimu ya kuwakataza wanasheria wasijitangaze??? Je,nyinyi wanasheria mnalichukuliaje hilo mmeridhia? Na ipo kwenye sheria kwamba hamruhusiwi kufanya matangazo. Bhasi kazi yenu haina uhalali kwann mfanye kwa kificho? Hayo ni maswali yangu tu.
  3. egkyne

    Wanasheria,naomba mfano wa kesi ambayo circumstantial evidence ilitumika kumtia mtu hatiani

    Mtu aliyeelimika hawi hivyo brother ingekuwa hivyoo hata dr.akienda hospital kutibiwa na dr.mwenzie wangekuwa wanaambiana wakasome.inaonyesha nikiasi gani una i.q ndogo sanaa.ni bora ukatoa maelezo ili uonekane ni msomi utoe na reference yasehemu uliyosoma hapo ndo tutakuona ww msomi. Badilika...
  4. egkyne

    Kwa yeyote mwenye shida ya sheria za kazi

    Naomba kujua hili kisheria because nimeachishwa kazi sasa nahitaji kudai fidia zangu kupitia mahakama. Nilipoenda kwenye chama cha wafanyakazi ili kuanza process za kufungua mashtaka nilihitaji kudai muda wangu wa ziada sababu tangu nianze kazi huwa nafanya masaa 48 kwa week badala ya 45. Sasa...
  5. egkyne

    NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

    Hivi ukichaguliwa cha government upande wa fee hua nalipia kwa asilimia ngapi?
  6. egkyne

    Power Bank: Nini muhimu cha kuzingatia?

    Power bank ya PUKU
  7. egkyne

    Power Bank: Nini muhimu cha kuzingatia?

    Kuna power bank za PUKU zina mah 8000 ni nzuri kwa kweli na inauwezo Wa kucharge smartphone Mara 3 zaidi na moja ya maelezo yake usiitumie ukiwa umeiconnect kwenye charge! Maelezo ya hiyo picture ya Dada aliyeungua yalikuwa yanasema ''alikua anatumia power bank huku umeiconnect kwenye umeme"
  8. egkyne

    Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    Huku Buguruni teyari wameshakata umeme.
  9. egkyne

    TANESCO yaamriwa kuzima umeme

    Tanesco washenzi hii hali si,mara ya kwanza mara nyingi tu,hu2katia umeme tusiangalie shughuli za bunge.
  10. egkyne

    Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Tanzania hatutafika kwa namna hii,kweli inachosha kama mzazi!
  11. egkyne

    Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

    pia husaidia kwenye mamboyetuuuu...yaleee...kwa wanaume.
  12. egkyne

    Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

    Kwenye hili naweza kusema katika mapenzi yao kulikuwa Hamna uaminifu....kwamba mwanamke anafanya tendo hilo katika hali ya usalama,i mean mwanaume alijiswafisha nyeti zake na je mwanamke kadharika katika kila siku wafanyapo oral sex....pia kama mke alikuwa akivunja uaminifu na kunyonya nje. Kama...
  13. egkyne

    Wanawake bwana!

    Kiukweli wanawake wengi wanatoa huu ni ukweli ambao wanaukataa...ndo maana kuna mkuu mmoja Amesema ukitaka kuwajua wanawake akili zao na mambo yaliyo mioyoni mwao kuwa mwanamke Kwanza...
  14. egkyne

    Kunyonya matiti wakati wa tendo

    Watoto ni kinga ila si unajua wanaonyonya sanaa ni watu wazima mtoto miez mitatu keshaachishwa nyonyo
Back
Top Bottom