Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,073
- 43,522
Chief-Mkwawa hivi ni halali power bank ya 1200mAh kuuzwa 50k inaitwa expode
12,000 au 1,200? Kama ni 1,200 si bora ununue battery nyengine?
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa hivi ni halali power bank ya 1200mAh kuuzwa 50k inaitwa expode
Chief-Mkwawa hivi ni halali power bank ya 1200mAh kuuzwa 50k inaitwa expode
Chief-Mkwawa ymollel nina 50k nataka powerbank original..... Ninaweza kupata wapi na labda itakuwa na ujazo gani (mAh). Nipo dar es saalam.
Nataka nikachukue kwa kesho
Msaada tafadhali.
Thanks
Hapa inabidi kwanza ununue kwa muuzaji wa kuaminika. ukisema uangalie jina au Power yake, bado unaweza kuuziwa yenye Ratings Fake. kama nilivyosema kabla mimi nikishika powerbank kwa uzito tu naweza kuhisi kama ni fake. kwa hiyo 50k, atleast iwe na power kuanzia 5200mAh
sidhan hata kama utapata power bank nzur. sijawah ona even za xiaomi zinazokuja hapa bongo ni zile fake zake.Chief-Mkwawa ymollel nina 50k nataka powerbank original..... Ninaweza kupata wapi na labda itakuwa na ujazo gani (mAh). Nipo dar es saalam.
Nataka nikachukue kwa kesho
Msaada tafadhali.
Thanks
Wazee hii power bank ilikuwa connected na Ac source au? mana nikicheki output yake apo ni let say maximum kabisa ni 6V japo nyingi ni 5V tua assume hio ilimlipua mdada ni 6V current apo ilukuwa 3000mA ambayo ni 0.3A nikisema 3000mA ni storage yake for a hour kama betri yako ina take 1000mAh ita charge mara 3 sasa chukua 5V voltage zidisha na 0.3A ambayo ni full storage output utapata 1.5W sasa one watt ni littlr kusababisha death even you could not detect if you touch it na iyo 1.5W ni full storage na hapo kwa E.m.f ya 5V current ilikuwa 550mA kumuua mtu ni impossible kabisa then io power bank output yake ni DC yani haingii akili kuleta fault...Punguzeni kutisha watu