Recent content by Eghorohe

  1. Eghorohe

    Simu gani nzuri kwa milioni moja

    GALAX E7 mkuu inakufaa mkuu inatoa picha nzuri balaa,battery inakaa saan!
  2. Eghorohe

    Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

    Kuna shule mfano mzuri ni Heritage sekondari school Kongowe KIBAHA ada ya form one na michango ni 4,650,000/= hii iko salama?
  3. Eghorohe

    Waraka wa kufuta ada elimu ya sekondari (1-4) na michango yote elimu ya msingi

    Jamani tunaomba mwongozo kwa shule za English medium,niliona kwa rafiki yangu form za shule mmoja inaitwa Heritage Kongowe ada na michango jumla 4.6M kwa mwaka 1ikiwemo,kiingilio 350,000/= swali hii hela ya kiingilio ndo maanake nini? Shule hizi nazo zipewe mwongozo, sio kila kukicha ada zinapanda!
  4. Eghorohe

    Tanzanian president Magufuli trampling on tenets corporate governance in his overzealous populist

    Magufuli's will is to meet the benefits and interest of the majority of Tanzanian's,he is real & simpathetically mean to hate,intending to combat the ongoing rotten egg smell atmosphere onto the government of Tanzania,so called parasites like the author are now evacuating so because the current...
  5. Eghorohe

    UGALI unaitwaje kwa Kingereza/Kimombo?

    Stiff porridge.
  6. Eghorohe

    Kilichomponza Prof. Muhongo ni kusahau jinsi ya utendaji kazi Serikalini

    Aisee kweli ndo maana humu kunaitwa great thinkers, Prof Muhongo anatosha kuwa waziri mkuu wa awamu ya tano,ana mambo ya kisasa kimaendeleo na nia ya dhati , siyo kama akina Wassira mambo kikoloni ya zamaani matusi,ubabe, ngumi za papo kwa hapo! prof Muhongo Oyeee!
  7. Eghorohe

    Masanja Mkandamizaji na Kuunganisha dots katika Maisha

    Nitawashangaa wana Ludewa kumchagua Masanja hana kiwango kabisaa cha kuwa mbunge,wala huwezi kumlinganisha na wasanii wenzake Sugu au Prof Jay,Nadhani Ludewa ina watu wengine wazuri zaidi ya huyo mchekeshaji,afu nasikia si mtu wa watu hakubaliki ng'o sasa yeye alipoona akina Sugu naye...
  8. Eghorohe

    Jumamosi ya Mwisho ya Kila Mwezi iwe siku ya kitaifa ya Usafi

    Jumamosi ni siku ya Sabato takatifu ya Bwana Yesu Kristo,Amen!
  9. Eghorohe

    Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    Hakuna mtu aliyekwisha kuapishwa kuwa rais mpaka sasa! It right ni ushindi wa ccm na rais wa ccm for the time being! Akishaapishwa atakuwa rais rasm.
  10. Eghorohe

    Diallo wa Star Tv kutosahulika!

    Rais Jk leo amesemwambia Magufuli kuwa asimusahau Antony Diallo kwa kuwa star TV imeibeba ccm pasipo mfano! Asimsahau kivipi?
  11. Eghorohe

    Nahitaji mbwa aina ya German Shepherd au Pitbull (Dume na Jike)

    Piga 0685 677 555 haraka kabla mbwa hawajaisha
  12. Eghorohe

    Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Haa haa haa PENA hapaswi kufa ili ajionee ushindi wa ukawa! Binafsi nilidhani PENA hawezi kuugua wala kupata ajali!
  13. Eghorohe

    Magufuli azuru makaburi ya babu na bibi yake, Katoma Geita Vijijini

    Mimi sio follower wa Magufuli,kuweka tiles kwenye kaburi maanake ni nini? Maiti I can call it a cargo with no value! mtu akifa amekufa tuu!Kutukuza makaburi ni kuabudu mizimu!Yale makaburi ya babu zake Magufuli yamejengewa cement inatosha kama alama kwamba hapa kuna kaburi mbwembwe za kazi gani.
  14. Eghorohe

    MkikiMkiki: Mdahalo wa wagombea Urais Oktoba 18, 2015

    Mama Anna nimemkubali yuko vizuri,anajenga hoja na anaongea bila papara kama Nape Mayoe!
  15. Eghorohe

    Kuhusu siasa na majina yanayoanza na JM!

    Jk ndo mpango mzima,Julius Kambarage,Jakaya Kikwete,Jomo Kenyatta,Joel Kaguta,John Keneddy
Back
Top Bottom