Simu gani nzuri kwa milioni moja

Simu gani nzuri kwa milioni moja

Pia kuna Lenovo vibe P1 nayo ni nzuri japo bei yake haifiki million.View attachment 311012

not bad ninecheki testing zake ipo vizuri.

ila tatizo ya hizi simu zenye battery kubwa ni charging time hasa kama umepoteza charger original unaweza charge hata masaa 3 haijajaa.

pia specs zake zinakuwa kama hio galaxy j7 hapo juu. still meizu 5 pro ni kali zaidi na note 4 inafuatia.

ila kama anajali zaidi battery kuliko perfomance sio simu mbaya, hio sd 615 ni soc nzuri kiasi chake.
 
Asee hebu angalia hizo specs zen kachukue hii simu kaka

kusema ukweli hata mimi hawa jamaa wamenishtua sana na hii simu.

-SOC(processor) yake ni sawa na s6, ni samsung na meizu tu ndio wanaitumia na ndio processor bora ya android kwa sasa.

-imetumia panel za amoled ambazo ni rare kwa oem wa kichina kuzitumia sababu ni expensive

-speaker zake gsmarena wamezitest ni nzuri sana unaweza kwenda gsmarena kuziangalia

-battery inakaa na chaji sana

-na bei ni around dola 430 ambayo ni rahisi kwa specs hizo hapo juu
 
not bad ninecheki testing zake ipo vizuri.

ila tatizo ya hizi simu zenye battery kubwa ni charging time hasa kama umepoteza charger original unaweza charge hata masaa 3 haijajaa.

pia specs zake zinakuwa kama hio galaxy j7 hapo juu. still meizu 5 pro ni kali zaidi na note 4 inafuatia.

ila kama anajali zaidi battery kuliko perfomance sio simu mbaya, hio sd 615 ni soc nzuri kiasi chake.

Meizu 5 Pro ni bonge la simu, kama ulivyosema ukipoteza charger original zinasumbua.
 
kusema ukweli hata mimi hawa jamaa wamenishtua sana na hii simu.

-SOC(processor) yake ni sawa na s6, ni samsung na meizu tu ndio wanaitumia na ndio processor bora ya android kwa sasa.

-imetumia panel za amoled ambazo ni rare kwa oem wa kichina kuzitumia sababu ni expensive

-speaker zake gsmarena wamezitest ni nzuri sana unaweza kwenda gsmarena kuziangalia

-battery inakaa na chaji sana

-na bei ni around dola 430 ambayo ni rahisi kwa specs hizo hapo juu

chief-mkwawa unazionaje LG G4.?
 
Nunua simu ya laki mbili na hizo hela zingine wekeza mahali fulani baada ya muda utakua na faida nyingi hata mbuyu ulianza kama mchicha usije nunua simu milioni alafu unaishi nyumba za kupanga ama kwa wazazi utakua unamatatizo mkuu (ni ushauri wangu tu kwa vijana wenzangu) (/colour)=red(color)home alone

Tunaishi ili tukitafuta furaha na amani katika maisha. Hujajua kipato chake ni kiasi gani, akinunua hiyo simu itamnufaisha vipi, ataathiri vipi kipato chake....na mwisho wa yote as long as hamkwazi mtu yoyote...it doesn't matter....
 
GALAX E7 mkuu inakufaa mkuu inatoa picha nzuri balaa,battery inakaa saan!
 
Simu ninunue milioni kwa nini?
Niko na Techno C8 nina enjoy
Na si zaidi ya 300000.
Mimi nafikiri nunua simu ya bei rahisi zilizobaki saidia hata ndugu zako.
TECNO C8 HUTAJUTA.
 
-camera nzuri
-perfomance ok sio nzuri sana sio mbaya
-ukaaji wa chaji ni average na kama unataka simu inayokaa na chaji hii haikufai

meizu pro 5 ebay inauzwa around $440-470 hivi ni salama kweli kuagiza smartphone toja ebay labda ya $85 kwa kupitia posta Tanzania? niliwahi kua kigoma kuna jamaa wakimbizi walikua wanatumiwa laptop,ipad,tablets,simu,camera na ndugu zao toka ulaya lakini vitu havipotei
 
huyu peponi hafiki kabisa,kule muhimbili kuna wagonjwa kibao wamekosa hela kunusuru maisha yao hiyo hela ya jamaa haina kazi ni bora akasaidia wenye shida ili mungu ambariki

Umenena vyema sana na mungu akubariki
 
meizu pro 5 ebay inauzwa around $440-470 hivi ni salama kweli kuagiza smartphone toja ebay labda ya $85 kwa kupitia posta Tanzania? niliwahi kua kigoma kuna jamaa wakimbizi walikua wanatumiwa laptop,ipad,tablets,simu,camera na ndugu zao toka ulaya lakini vitu havipotei
Kwa kitu cha bei rahisi posta sio mbaya kitafika, ila kama ni kitu cha thamani mfano hio dola 400 bora utumie dhl au fedex. Risk ni kubwa sana kwa posta
 
Kwa kitu cha bei rahisi posta sio mbaya kitafika, ila kama ni kitu cha thamani mfano hio dola 400 bora utumie dhl au fedex. Risk ni kubwa sana kwa posta

Maana nimeiona moto x kwa $85 nataka niijaribu kwa kutumia posta kama itafika salama kweli
 
Hizi simu zenu ambazo zikiibiwa mnaweka maturubai nje ya nyumba...mmh..
 
Back
Top Bottom