Huyu mzee akiwa kwenye majukwaa anavyotamba,,, mishahara inalipwa tarehe 19 tofauti na huko nyuma,,
Daaaah kwa style hii utendaji kazi utakua zero aisee
Hakuna CIVIL ENGINEER anaeweza kutoa matusi kwa wachangiaji wa mada aliyoileta, tena hata pasipo hitajika kutoa tusi.
Ma CIVIL ENGINEER ni GREAT THINKERS hua hatutukani hovyo hovyo kama huyu bwana anavyofanya.
Na kama kweli umesoma civil, utakua umesoma pale misungwi chuo cha maendeleo ya...
Nyie madada poa wa Lumumba tulishawazoea,, hamjitambui kazi yenu ni kutukana hata pasipo hitaji kutukana, na kibaya zaidi wengi wenu mnatumia mikalio yenu kufikiri
Blaalfuull wewe
Hao unaowatetea
Kwa taarifa yako ni kwamba wamelaaniwa
Waliuana wao kwa wao kwa mambo ya kijinga sana
Huwezi kumchinja ndugu yako au jirani yako alafu Mungu akakuacha salama hawana upendo wowote kwetu hivi kweli walishndwa kupendana wao kwa wao waje kukupenda wewe mchoma MKAA mmatumbi wa...
Ngoja nijiandae kuifunga rasmi ofc yangu,, maana naona sasa tunakoelekea nawezapoteza vijisent vyangu..wacha nikavielekeze kwingine japo hao jamaa tunafanya nao biashara bila shida yoyote ile na pia kubaki na kadi ya MTU sio lazima ila ni option tuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.