Sakata la kampuni ya Indo Power:Kama mawaziri wote wamehusika,Raisi kama mwenyekiti wa Baraz la Mawazi,hahusiki?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,994
144,329
Gazaeti la Mwananchi(la mtandaoni) linaarifu kuwa wazirri Mwakyembe amemtetea Prof.Kabudi kwa kusema asilaumiwe yeye peke yake kwani uamuzi wa kuipa tender kampuni ya Kenya ya Indo Power ulikuwa ni uamuzi wa mawaziri wote na akaongeza mawaziri wanafanya kazi kwa pamoja(bila shaka alimanisha collective responsibility).

Maswali:
Mawaziri wanaweza kufanya maamuzi ya pamoja bila kuketi katika kikao cha Baraza la Mawaziri?

Kama jibu ni hapana,Raisi ambae ndie mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri,hapa nae hahusiki?

Je,kuna mtu ambae Waziri Mwakyembe kaamua kumlipua kiani kupitia kauli yake hii?

Pamoja na yote haya,binafsi nampongeza Mwakyembe kwa kusema ukweli kuhusu hili jambo maana ukweli tumeujua.

 
Back
Top Bottom