No. 4 JINSI YA KUFIKIA MAKAZI YA MTEJA;
USHAURI.
Kwa kuwa wateja wengi wa mijini wako kwenye maeneo yaliyopimwa na Serikali; ila mitaa haina majina, na nyumba hazina namba; tunawashauri mpate nakala ya ramani kutoka mamlaka husika, ili mteja anapowahitaji mfike kwenye makazi yake, awatajie...
Pole sana.
Jaribu tiba mbadala, dawa za kienyeji kutoka India. Muone tabibu asili, Dr. Shashtri kutoka India, ana duka Arusha na Dar (karibu na soko la Kariakoo)
0754 201 666,
0752 921 060,
0784 486 411.
Ongea na doctor mwenyewe.
Jamani ndugu zangu, dada yenu ninakuja kwa heshima kubwa kuomba...
Wapeleke idadi ya kutosha ya wafanyakazi au wanafunzi, sasa, kujifunza namna ya kuzikarabati (technicians), ili
kupungunza utegemezi wa
maintainance kwa 100%; angalao kwa mambo madogo madogo.
hakuna haja ya kugongwa mtaani,muone bw Kazaura
kwenye duka la samaki pale sinza mori, barabara ya vumbi, kama duka la 5 au 6 kulia. utapata kwa bei poa. Pia kuna na nkeije, ntura, mboju, ngege, nshonzi, kashuli nk nk.
Fresh kabisa.
Edylux
hakuna haja ya kugongwa mtaani,muone bw Kazaura
kwenye duka la samaki pale sinza mori, barabara ya vumbi, kama duka la 5 au 6 kulia. utapata kwa bei poa. Pia kuna na nkeije, ntura, mboju, ngege, nshonzi, kashuli nk nk.
Edylux
Mkuu ahsante kwa muongozo. Tunakuomba utuwekee na vipimo, mfano:
# embe ngapi?
# maziwa kiasi gani?
# unga wa soya kiasi gani? wa aina gani?
# asali kiwango gani?
# maji kiasi gani?
# tangawizi.
# unatumia kwa muda gani au siku ngapi?
Tafadhali tupatie majawabu pamoja na hiyo supu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.