Natafuta "EKILELE KY'ORUBISI"

Natafuta "EKILELE KY'ORUBISI"

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Ekilele ni kile kibuyu kidogo che mshikio mrefu huwa kinatumiwa na wagurusi kule Bukoba. Kwa anayejua mahali ninapoweza kukipapa anijuze.
 
Nipo dar, kama unacho nijuze bei
 
Yooooo iweee bojooo umenikumbusha kule kagera..!!!

Regards,
Jonathan.
 
Unataka kukiweka kama pambo au kuna Sehemu RUBISI inapatikana.Nijulishe mimi ninakyo
 
1381881289051.jpg . Mkuu hiki kibuyu unatoa bei gani?. mia
 
Haya bwana ONDIWO BAKULIWO.

hakuna haja ya kugongwa mtaani,muone bw Kazaura
kwenye duka la samaki pale sinza mori, barabara ya vumbi, kama duka la 5 au 6 kulia. utapata kwa bei poa. Pia kuna na nkeije, ntura, mboju, ngege, nshonzi, kashuli nk nk.

Edylux
 
Fresh kabisa.

Mwana Umenikumbusha mbali sana, izi kitu ntapata wapi jamani?
A,OBUSHWA
B,ENSENENE
C,OMULILI
D,OMUTONTOZI
E,EBIKWALA
F,EBILIBWA
G,OLUBISI
H,ENKANJA
I,ENSENENE
J,EKIFAKEDO
K,ENYOYA
L,AKABINDIZI
M,AKASHWAGALA
N,AMAMESHE
O,ENSANYUSE
P,AKANANA
Q,ENJOGE
R,OMUNENE
S,OMULAMBA
T,ENFUMA
U,OMWONGU
V,AMASOMA
W,OMUSHOKOLO
X,EIBOTA
Y,EBITUZI
Z.OBWOKI.
kweli nateseka dar hii, wanangu wameloose identity, hawavijui ivi vitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom